Kama unajali uhai wako hawa ndo wanawake wakuwaepuka

Wanaume mnahangaikaa, kuna uzi mkenya mmoja aliwahi kuanzisha humu akielezea namna anavyopenda wanawake wanaojua allmost everything na wenye exposure ya kutosha. Mlimsapoti kweli kweli mkatunanga weeee, leo naona mambo yamegeuka

Kwani wanaelewekaga sasa ukiwa hujui wanakuona mshamba
 
Sasa mkuu, hao wanawake wa vyuoni... kesho yake si ndo wanakuja mitaani na kupata ajira...
Yani kwa katazo hili la wanawake wa chuo... ni hakika kabisa unatufundisha uoga wa kufata hivi viumbe.
 
Back
Top Bottom