Elections 2010 Kama unaitakia mema Tanzania usimchague Mh Slaa

ZAWADI unajihangaisha buree humu jukwaani.
huwezi kubadili kalamu kuwa karatasi.
Hizo propaganda tafuta TV ulipiwe na ccm uyaseme hayo unayoyasema kisha urudi nyumbani ukasubiri siku ya kupiga kura.

Usijitie UMALARIA SUGU bureee.
 
DSC06874.jpg

Unawaona viongozi wa nchi baada ya 31.1!

Hawa ndio wanademokrasia. Picha hii nimeipenda, nitaihifadhi- asante sana.

HALAAAAAA. KUMBE HATA PICHA ZAO UNAZO. POA najua wewe ni CHADEMA hapa JF, LAKINIO KWENYE KURA NI HAO WALIO KWENYE PICHA- SMART!
 
Fafanua neno hili tafadhali "USICHAGUE CHAMA, CHAGUA MTU" Mbona mnajibu hewa, na ktk uongoizi ndio mtakuwa hivyo hivyo. tumewagundua!

Ugomvi wa nini Zawadi Ngoda, uhuru wa kuchagua si unao ? Wewe chagua unayeona anafaa kati ya Kikwete na CCM, ndio kati ya Kikwete na CCM, si ndivyo unavyotaka. Wengine tutamchagua Dr. P. W. Slaa, ugomvi kwisha.
 
Hii picha kibopo yao!! ndio maana waliionda kwenye utube mapema mno!! Haiita maelezo
 
Nadhani tafuta mume:A S-rose: ili akuchunge ukiwa umelewa usiandike kitu humu FB.... Maana leo nimemuuliza mtoto wa darasa la nne hapa Olasiti, Arusha utamchagua nani kama umri ungeruhusu???!!! Jibu alilonipa na sababu yake kakuburuta vibaya sana ndugu....:dance::A S 103:
 
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.

Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.

Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

Ha ha haaa! Vote for Dr Slaa, idiota.
 
Punguani mkubwa weee + alieku2ma! Kwel we zawadi, na nafikiri zawadi yako ni kofia ya njano na tshirt ya kijan kwa kuandika upuuz huu!
 
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.

Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.

Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

Stultus
 
Mkapa aliwahi kusema "Tatizo kubwa linaloleta uvunjikaji wa amani katika nchi za Afrika ni ukiritimba wa madaraka unaofanywa na watu wachache".

Hapa Tanzania CCM na TANU vimehodhi madaraka kwa miaka 50. Hili linakaribia kuleta uvunjikaji wa amani.

Kama unaitakia Tanzania mema, lazima upige kura ya kubadilisha chama tawala wakati huu, ili tuanze miaka 50 mingine na watu wengine (wenye kuweza zaidi).
 
Nadhani hapa mlipotufikisha anahitajika dikteta kama Dr(Phd) kutupeleka.Maana hawa mafisadi papa ukichekacheka nao, kauli ya maisha bora kwa kila mtanzania haiwezekani.
 
Ujumbe umefika... one word SLAA HAFAI KI elimu, sera za kusadikika!... maisha yake binafsi na mke wa mtu! imagine 1st lady mke wa mtu! itakuwa kituko kwa majirani zetu
 
Watanzania wana chagua moja: kuenedelea na utaratibu wa CCM wa zamani au kujaribu utaratibu mwingine.

Utaratibu mwingine unaojaribiwa unaweza usiwe mzuri sana, lakini hakuna anayejua kutatokea nini. Lakini sote tunajua kuwa kwa kuendelea na utaratibu wa zamani wa CCM tutaendea na njia mbaya iliyotufikisha hapa; njia hiyo itatufikisha pabaya zaidi.
 
zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Attachments

  • Picture4.jpg
    Picture4.jpg
    106.2 KB · Views: 52
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.

Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.

Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

Naona una sikika kama mtu aliyekwisha kununuliwa ka "Bajaji" na Mheshimiwa wako Bw Kikwete, Hivyo hakuna wa kupoteza muda wake kubisha na wewe. Kila la heri kwenye kuipigia upatu sisimhhh.
 
Fafanua neno hili tafadhali "USICHAGUE CHAMA, CHAGUA MTU" Mbona mnajibu hewa, na ktk uongoizi ndio mtakuwa hivyo hivyo. tumewagundua!
+==>> Maana yake ni: Inaweza ukawa unapenda Chadema, CCM, CUF, NCCR etc etc; Lakini utaifa kwanza; yule anayemwaga sera za kueleweka mpeni kura; thus why:
DR Slaa is the best
Lipumba better than
Dr. Kikwete is good

WE choose the best; if you consider yourself a Tanzanian; then you will not worry of anything; because we are one, we have been one and for sure we 'll always be one.

Zawadi we want somebody who have CHARISMA; JK has no charisma; absolutely; undeniable; he is a thief (EPA, Richmond, Meremeta etc etc); he is a killer (the cirumstances in which Dr. daudi Ballali died is complicated), he is corrupt (he has been protecting thieves, our children killers, our mothers killers). This is the worst president since our independence.

We can say these are bygones; but another term in office? He will never get my vote. He must know in the first place that Tanzanians who voted for him are his clients, not those thieves!

I don't hate him; he is a good human being like you or anybody else, but not for the leadership of the country!
 
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.

Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.

Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

Mawazo mgando haya watanzania wa leo hawaendekezi hizi mambo nazani lazima uende nyumbani kwenu ukawaeleze huu utumbo watakuelewa sio kuuleta hapa JF
 
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.

Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika.

Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.

Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

Nashindwa kuelewa kama kweli wewe ni Mtanzania, ila tokana na kauli yako nina elewa kwamba hauna akili sawasawa. Ninasema hivyo kwa sababu zifuatazo:

- Umeshindwa kuona na kuelewa kwamba Watanzania tulifanya makosa makubwa sana kumpa Jakaya nafasi ya kuwa Raisi wetu kwa muda wa miaka mitano iliyopita. Jakaya ameshindwa kuilinda katiba ya nchi kama Raisi wakati alikula kiapo kufanya hivyo. Katiba yetu inasema wazi kwamba mwizi ni lazima akamatwe, afikishwe mahakamani na kama ushaidi upo basi ni lazima apewe adhabu ikiwa ni pamoja na kifungo, faini nk. Lakini Jakaya amewafanya nini wezi wa EPA?, (wamejitokeza kwamba wao ndiyo wezi na ushaidi upo). Jakaya ameweza kuwalinda wezi na mafisadi ambao wanaiba na kula keki ya Taifa huku Watanzania wengi wanakufa kwa njaa na magonjwa. Wezi wa Richmond, Kagoda, Meremeta, Deep green na mzee wa visenti. Je kuna haja kweli ya kumrudisha tena Ikulu?. Kama una akili timamu na mapenzi ya kweli kwa nchi yako tafadhali sana usimpe kura Jakaya, kumbuka ukishirikiana na mwizi na wewe pia utakuwa mwizi. Jakaya anashirikiana na wezi, hivyo na yeye ni mwizi.

- Jakaya amekuwa mzigo mkubwa sana kwa Watanzania. Ametumia pesa za watanzania kwa mambo ya anasa na starehe. Amefanya safari nyingi sana za nje ya nchi huku akiongozana na watu wengi bila sababu kwa gharama ya watanzania masikini. Na hakuna tulichopata cha maana tokana na safari hizo. Safari alizozifanya kikwete kwa muda wa miaka minne ni sawa na safari zilizofanywa na Nyerere pamoja Mwinyi. Kumbuka Nyerere amekaa Ikulu kwa muda wa miaka 24 na mwinyi miaka 10. Jakaya hakuwa na sababu ya kufanya kila safari kwani kuna baadhi ya mambo yangeweza kufanywa na mabalozi ama angeweza kuongea kwenye simu, email, skype ama video conferencing kama anavyofanya Paul Kagame na Mwai Kibaki. Jakaya hana uchungu kabisa na Watanzania masikini na hivyo hakuna haja ya kumrudisha madarakani.

- Jakaya anajua kabisa kwamba mikataba mingi ya uchimbaji madini hapa Tanzania haitupi faida watanzania lakini haivunji na hii ni kwa sababu ina mpa faida yeye na familia yake pamoja na rafiki zake. Na pia kuna baadhi ya mikataba aliisaini yeye mwenyewe alipokuwa waziri wa maji na nishati. Je kuna sababu ya kumrudisha Ikulu mtu kama huyu?- Jibu ni NO.

- Jakaya ni Raisi pekee aliyeweza kuwapa madaraka watoto wake, ndugu zake na mke wake. (anaendesha nchi kisultani). Rizwani ni nani katika nchi hii mpaka apite huku na kule eti anapatanisha watu?. Mtoto wake mdogo kabisa ni kamanda chipukizi taifa, Rizwani UVCCM na mjumbe halmashauri kuu, Mke wake mjumbe wa halmashauri kuu na pia mwenyekiti WAMASA, wadogo zake wawili ni wajumbe halmashauri kuu. Nyerere, Mkapa na Mwinyi hawakuwa na watoto, ndugu na wake wa kuwapa madaraka?. Je kuna haja ya kumrudisha mtu kama huyu anayetaka kuleta utawala wa kisultani hapa nchini?. Jibu ni NO.

Ni mtu muuaji na mwenda wazimu ndiye atakayempa kura Jakaya, sasa kama na wewe ni muuaji ama mwenda wazimu sintashangaa sana.
 
Ujumbe umefika... one word SLAA HAFAI KI elimu, sera za kusadikika!... maisha yake binafsi na mke wa mtu! imagine 1st lady mke wa mtu! itakuwa kituko kwa majirani zetu
Hiyo ndiyo hadithi ya mbwa mwitu kutaka kumla mwana mbuzi:
1. Hivi ni Elimu gani inafaa mtu awe Rais?
2. SERA za kusadikika? Kama ipi: Wewe unaamini maneno ya CCM kuwa Elimu Bure na Matibabu bure haiwezekani? Wasomi wa hali ya juu wawili Profesa Lipumba na Dr Slaa wamebaini hilo. Hebu nikuambie; Elimu na Matibabu bure inawezekana. Hata mfuko wa cement kwa shillingi 5000 unawezekana. Hebu nikuelimishe hapa: Cement hutengenezwa kwa raw materials zijulikanazo kama limestone, gypsum, halafu huchomwa kwa gas au coal , locally kama intermediary raw material yaani clinker, itatengenezwa tanzania, tani moja inaweza kuwa dollar 20 hadi 25. Ukiweka viungo, kama microsilica etc iwe cement then itafikia tani moja dollar zaidi zaidi 30 per ton. Chukulia gharama za usafiri nk, kodi, itafikia dollar 40 kwa tani. Hiyo ni gharama ya hali ya juu sana; sawa na export fob ya mizigo duniani. Infact nchi kama china wana-afford FOB dllar 33 hadi 35. Tani moja ina mifuko ishirini ya 50kg. Mfuko mmoja ni dollar 2. Fanya hesabu halafu ongea. Nchi hii inashikiliwa na wahuni na walionyuma yao ni mafisadi. Faida zote zinakwenda kwa mafisadi; ndiyo maana nchi zingine hasa ASia zinacontrol bei kutokana na maisha ya watu wao. Huwezi kuwafanya watanzania waishi maisha ya bei za uingereza. Ndiyo maana hata ile sera ya huyo myanemtaka JK, ati atajenga machinga centres 6 Dar Es Salaam, za nini? za kuuza nini? Jibu kisharubuniwa na wachina ili sisi tuwe soko la viwanda vyao. JK kama kweli antataka uchumi angewaahaidi machinga kuleta viwanda vidogo vidogo, JK has got no knowledge of economics; he is a real faiulure or he is a puppet of mafisadi.

3. Kuhusu maisha yake; you maybe right; but in Tanzania? The sitting president was the best womanizer in history; hivi you want to compare what? Labda hili suala la maji taka tusianza sasa wakati DR Slaa anataka kuchukua nchi. Tuliongelee bada ya uchaguzi, maana siyo hao pekee ni tatizo la Nchi zima; I am sure 80% of Tanzania families and 100% of those people in power have relationship outside their marriages; and have several Children outside wedlock.
 
Back
Top Bottom