Kama unaitaji vifaranga vya sato ni pm nikuunganishe na muuzaji

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,896
1,642
Wapo wengi wakutosha mmoja ni tsh 300 tu mbegu kutoka uganda ambayo inawiana na hali ya hewa ya kwetu africa mashariki
 
Wapo wengi wakutosha mmoja ni tsh 300 tu mbegu kutoka uganda ambayo inawiana na hali ya hewa ya kwetu africa mashariki

mkuu ntakucheki npo kwenye mchakato wa kabwa changu..nianze ufugaji maeneo ya chanika.nikshakua.tayari ntakushtua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom