Kama unaishi nyumba ya kupanga Kata gogo kwa style hii

Ramea

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,146
4,053
Nilijikuta nabuni style ya kukata gogo nyumba ya kupanga hadi leo naitafakari sana nabaki kucheka tu.

Nilikuwa nafanya masomo kwa vitendo, sasa nilienda mkoa flani kwa mwaliko wa rafiki angu ambaye alinitangulia kuanza kaz kabla yangu.

Yeye alipanga nyumba na wapangaji wengine ila ile nyumba ilikuwa na choo cha ndani kimoja tu. Shida ni pale ukitaka kukata gogo, nje ya dirisha wanajaa wadada kibao. Siku moja nikagundua wanacheka nikiwa choon kwakuwa nilikuwa najamba sana, nikaona isiwe kesi. Kwakuwa mle choon kulikuwa na mandoo kama tano hiv nikagundua style nikikata gogo, nayagonganisha yale mandoo yaan ni full kelele, hata nikiharisha hakuna anayesikia kujamba, kelele kama kichaa kaingia choon. Walinikoma, nikitoka nje kisharobaro wamenunaaa!
 
IMG_20190731_212616_153.jpeg
 
raha ya kukata gogo uwe huru sasa ww unahangaika na ndoo za nn ? piga kitu halisi wanaokaa kusikiliza milio shauri yao.
 
Ingia na karedio kadogo tuu sema mziki mkubwa kiasi mtu wa nje anasikia mziki tuu. Ufanye hivi hata unapoenda kuoga au kujisaidia haja ndogo. Laah Wala ratiba ya kupata haja kubwa usiku wa manane ambapo watu wamelala,Hata wakisikia maskadi hawataamka kuja kuangalia nani alikuwa anaachia hayo maskadi.

Kweli ujana maji ya moto, mie napanga namna ya kustaafu wengine namna ya kuzuia sauti za asili alizoziumba Mola Heheheheheheh.
 
Radio ya nini smart phone inatosha
 
very interesting!! hili eneo ni kwa wenye akili na uelewa tu!!! ni bora kuwa natural na mkweli
mbona sie tukiwa vyoo umma hamna shida unaachia bomu huku nje kuna mtu anasubiria kuingia
 
Nilijikuta nabuni style ya kukata gogo nyumba ya kupanga hadi leo naitafakari sana nabaki kucheka tu.

Nilikuwa nafanya masomo kwa vitendo, sasa nilienda mkoa flani kwa mwaliko wa rafiki angu ambaye alinitangulia kuanza kaz kabla yangu.

Yeye alipanga nyumba na wapangaji wengine ila ile nyumba ilikuwa na choo cha ndani kimoja tu. Shida ni pale ukitaka kukata gogo, nje ya dirisha wanajaa wadada kibao. Siku moja nikagundua wanacheka nikiwa choon kwakuwa nilikuwa najamba sana, nikaona isiwe kesi. Kwakuwa mle choon kulikuwa na mandoo kama tano hiv nikagundua style nikikata gogo, nayagonganisha yale mandoo yaan ni full kelele, hata nikiharisha hakuna anayesikia kujamba, kelele kama kichaa kaingia choon. Walinikoma, nikitoka nje kisharobaro wamenunaaa!
Mimi nilikuwa natumia maji nachota afu naludishia nakuwa kama naya mwaga ivi hadi namaliza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom