Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,303
hatimaye unabii unaelekea
kutimia. Lakini naipenda sana
operation ndogo nyingine ya
M4C
ambayo naweza kuiita mkono
wa
kushoto wa M4C. Hii ni
operesheni
ya kimya na kwa kweli naipenda
kwa kuwa iko effective kuliko
zote. Nayo ni Toa gamba
moyoni,
valia gwanda moyoni.
Hii kwa sasa imefikisha
mamilioni
ya Watanzania. Hawa ni wana
CCM
ambao wanaendelea kuvalia
magamba kwa nje lakini mioyoni
mwao wamevalia magwanda na
kila wakati wanaitika kimoyo
kimoyo Peopleeeeeeeees!
Poweeeeeeeeeeer!
Katika kundi hili wamo
watumishi
wa umma. Hawa kwa miaka yote
wamekuwa hawana magamba
kwa nje lakini kwa ndani
wamevalia magamba hata kama
ni kwa kulazimishwa na
mazingira.
Ushauri wa bure kwa CCM ni
kwamba mafuriko hayajawahi
kuzuiwa na kitu chochote.
Acheni
kujisumbua. Naona kama
mmeanzisha M4K (Movement for
Killing), wameuawa watu wengi
sana
kutimia. Lakini naipenda sana
operation ndogo nyingine ya
M4C
ambayo naweza kuiita mkono
wa
kushoto wa M4C. Hii ni
operesheni
ya kimya na kwa kweli naipenda
kwa kuwa iko effective kuliko
zote. Nayo ni Toa gamba
moyoni,
valia gwanda moyoni.
Hii kwa sasa imefikisha
mamilioni
ya Watanzania. Hawa ni wana
CCM
ambao wanaendelea kuvalia
magamba kwa nje lakini mioyoni
mwao wamevalia magwanda na
kila wakati wanaitika kimoyo
kimoyo Peopleeeeeeeees!
Poweeeeeeeeeeer!
Katika kundi hili wamo
watumishi
wa umma. Hawa kwa miaka yote
wamekuwa hawana magamba
kwa nje lakini kwa ndani
wamevalia magamba hata kama
ni kwa kulazimishwa na
mazingira.
Ushauri wa bure kwa CCM ni
kwamba mafuriko hayajawahi
kuzuiwa na kitu chochote.
Acheni
kujisumbua. Naona kama
mmeanzisha M4K (Movement for
Killing), wameuawa watu wengi
sana