Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
(1)Kutoka kwingi na hupati faida yoyote.
ina maana gani kuhudhuria kila sherehe hata zile ambazo hujaalikwa? Kama una utaratibu wa hivyo acha mara moja fanya vitu vingine.
2.Kuwa na mahusiano yasiyokua na mbele wala nyuma.
Unakuta mtu anangangania mahali asiachwe na pisi kal-lakini moyobi anajua kabisa mimi hapa sioni mbele na anaendelea kuwekeza hapo hapo tu.
amka
(3)Hofu ya kufikiri sana juu ya mambo na changamoto za maisha haimaanishi kwamba ndio utayamaliza hapana amka fanya kitu.
4.Uoga juu ya mtizamo wa raia wengine wanavyowaza kuhusu wewe.
5.Kuvuta sigara unaumaliza uhai wako taratibu bila kujua.
6.Kukosa muda wa kutosha kulala
7.kuairisha shughuli zako nk..
nyingine mtaongezea...