Kama unafanya haya kwa Mkeo au Mpenzi wako jua ya kwamba Wewe bado ni Mvulana na siyo Mwanamume kamili kama wengine

Mbona huuliz kuazma nn? mi nimemaanisha kuazma labda geto mana kwako unkuta hapaeleweki unaanzake kumpeleka..afu unakuta kuna kale kaarufu kakiume kale kamesambaa chumba kizima .
Kuazima labda geto. Hahah kwanini isiwe geto moja kwa moja. Mi najua ni kitendea kazi. Ila usijali nimekuelewa some times kale kaharufu ka ubeberu kanaboa waeza ukakata stim za binti.
 
Back
Top Bottom