Biashara ya mikoba, viatu na nguo kutoka Uganda naomba msaada wa mawazo

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
441
350
Habari wanajamvi nimefanya utafiti juu ya baadhi ya uzi humu JF ambazo zina husiana na biashara kutoka Uganda nyingi ni za mda.

Naomba kama kuna mtu yoyote anaefanya biashara ya kununua vitu Uganda na kuleta Tz naomba aje nahitaji mwongozo.

Juu ya namna ya kufika Uganda masoko ikiwezekana kupata mwenyeji sio mbaya.

Wanajamvi tupeane taarifa kwani kila mtu anatafuta.

1623071715086.png

Ngoja kuna uzi mpya nikutaftiee..... japo haujajitosheleza tutahitaji wajuziii...

NOTE : km hujui chochote na hutaki kujua tafadhari usije ukajaza uzi mrefu usio na majibu.. sio uzi wa kupeana like huu....

Ngoja kuna watu niwatag wapo vzr kwenye hili
 
Ngoja kuna uzi mpya nikutaftiee.....
japo haujajitosheleza tutahitaji wajuziii...

Nimekuelewa sana mkuu asante sana
 
Ngoja kuna uzi mpya nikutaftiee.....
japo haujajitosheleza tutahitaji wajuziii...

NOTE : km hujui chochote na hutaki kujua tafadhari usije ukajaza uzi mrefu usio na majibu.. sio uzi wa kupeana like huu....

Ngoja kuna watu niwatag wapo vzr kwenye hili
Siku ya pili sasa mkuu
 
Kuna nyuzi kama 4 hivi za mwaka jana mpya kabisa kuhusiana na biashara Uganda, hebu tafuta utazipata ...watu huona uvivu kuja kila siku kuelezea point zile zile ...tafuta Uzi upo
 
Habari , naomba ufafanuzi juu ya kufata biashara Uganda ,Mimi naenda kesho ,pia nahitaj kujua boda ya mtukula ipo wazi au ? Na pia nivizuri nitoke nmechange pesa huku tz au nikachange kulekule? ....msaada.na ninatamani kupata rafik anayejua kiswahili.
 
Habari , naomba ufafanuzi juu ya kufata biashara Uganda ,Mimi naenda kesho ,pia nahitaj kujua boda ya mtukula ipo wazi au ? Na pia nivizuri nitoke nmechange pesa huku tz au nikachange kulekule?
..msaada.na ninatamani kupata rafik anayejua kiswahili
Ukifika mpakani badilisha fedha yako maana ukifika Kampala utapunjwa maana hautakuwa na njia nyingine...ukifika Kampala kwa huduma ya mpesa Tanzania au kubadilisha pesa fika Arua Park utawakuta wanatanzania kibao
 
Sio kweli, mpakani ndio pesa kidogo kuliko kampala.
Mpakani huwa ni 1.5, wakati kampala kuna sehemu unaweza badilisha kwa 1.65
Ukifika mpakani badilisha fedha yako maana ukifika Kampala utapunjwa maana hautakuwa na njia nyingine...ukifika Kampala kwa huduma ya mpesa Tanzania au kubadilisha pesa fika Arua Park utawakuta wanatanzania kibao
 
Naijua kampala vizuri, sikushauri uende kipindi hiki.
Sababu zipo mbili;
  • corona, wenzetu bado wapp serious na hii kitu hivyo wanaweza kukukomalia uwaonyeshe cheti cha corona.
  • uchaguzi, wenzetu uchaguzi ni kitu serious kweli. Unaweza kukutana na majanga ambayo hukutarajia na ubaya wa kampala miundombinu yao mibovu sana na watu ni wengi sana hivyl ni rahisi kudhurika endapo vurugu zotatokea. Vurugu kutokea wala sio suala la kukujiuliza.
    Habari , naomba ufafanuzi juu ya kufata biashara Uganda ,Mimi naenda kesho ,pia nahitaj kujua boda ya mtukula ipo wazi au ? Na pia nivizuri nitoke nmechange pesa huku tz au nikachange kulekule?
..msaada.na ninatamani kupata rafik anayejua kiswahili
 
Habari , naomba ufafanuzi juu ya kufata biashara Uganda ,Mimi naenda kesho ,pia nahitaj kujua boda ya mtukula ipo wazi au ? Na pia nivizuri nitoke nmechange pesa huku tz au nikachange kulekule?
..msaada.na ninatamani kupata rafik anayejua kiswahili
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom