Kama unaamini utajiri ni baraka za Mungu basi amini na umasikini ni hivyo pia

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Sep 29, 2019
1,317
1,229
Habarini za wasaa!
Inafika wakati katika maisha lazima mtu ufanye tathmini ya wapi ulipotoka ulipo na unapokwenda
Kuna baadhi ya mambo yanaweza kuonyesha dhahiri kabisa ya kuwa wewe hufanyi jitihada zozote katika maisha yako
.
Ingetokea Muumba aseme kuanzia Leo tunanunua pumzi basi ni wazi watu wengine wasinge survive hata dk 5
Kama unaamini utajiri ni baraka za Mungu basi amini na umasikini ni hivyo pia
Lakini kama unaamini utajiri ni jitihada basi endeleza jitihada. Ili uendelee kubaki juu
LAKINI KUNA WATU WA AJABU SANA TENA SANA
➡Enzi za NYERERE aliitwa fukara
➡Enzi za uatawala wa MWINYI uliitwa masikini
➡Enzi za utawala wa MKAPA bado uliitwa mwanachi mwenye hali duni
➡kaja Mzee KIKWETE ukaitwa mwananchi wa hali ya chini
➡leo kaja JOHN POMBE MAGUFULI (Wayahudi wanamuita yohana ) bado upo kundi la wanyonge
.
Sasa wewe binadamu wa namna gani? Umesahau kuwa umasikini si kitu chema?
Tena mwingine unajitangaza kabisa eti Mimi mnyonge upo serious kabisa !!!!!
Aibu hii badilika sasa
 
Back
Top Bottom