Kama unaamini, omba kwa maana kila kitu kinawezekana

Jana nilikuwa nafanya kazi zangu kwenye stationary moja huku pwani..basi akaja kijana mmoja ni muhitimu wa kozi ya ualimu...na lengo la kuja stationary pale ilikuwa ni kuomba ajira za ualimu ..nimekaa pale zaidi ya masaa matatu namuona kijana amekaa ametulia..kumuuliza ananiamba anasubili wamfanyie application yeye hawezi kufanya.....NILIMUAMBIA TU KIJANA UTACHELEWA SANA KAMA HAYA NDIO MAISHA YAKO..
 
Back
Top Bottom