Kama una uwezo jenga nyumba ya nyuma ni muhimu sana

Nyumba ya Nyuma inalipa..!

Nimekupata barabara Jesse John, kwako Mwalimu Kashasha….!!
 
Ukishakua na WAGENI wa Mara kwa Mara Nyumbani kwako unahatarisha usalama mzima wa familia yako.

Hasa hasa suala la maadili,
Mfano:
1. unamkaribisha mgeni anatumia vilevi kupindukia mfano sigara/bangi/pombe afu anashinda mchana kutwa nyumbani kwako na watoto Wako walioko likizo nyumbani.
Unategemea kimaadili wanao watasalimika?

2. Unamkarbisha mgeni wa kiume mwenye tabia ya uzinzi afu anakaa kwako mwezi mchana kutwa anazengea zengea TU Nyumbani kwako na binti zako wadogo.
Unategemea binti zako watasalimika?

3. Unamkarbisha mgeni wa kike mshirikina,
Afu anakaa kwako mwezi, sikU nzima anashinda na mkeo apo Nyumbani.
Hivi sikU ukija kuwekewa malimbwata na tego za kichawi utamlaumu Nani?

4. Unamkarbisha mgeni wa kike Ni mdangaji sugu mjini,
Afu anakaa kwako wiki/mwezi na sikU nzima anashinda na mkeo.
Hivi mkeo akianza kugongwa gongwa ovyo Unategemea utamlaumu Nani?

5. Unamkarbisha mgeni Ni JAMBAZI sugu Uko alikotokea,
Afu anashinda sikU nzima anazengea nyumabni kwako anachora TU ramani,
Hivi sikU ukija pigwa matukio utakuja mlaumu Nani?

Ni mengi Sana,
Ila sio Vema SAna kukaribisha karibishaa wageni hovyo Nyumbani kwako.

Niliwahi kua na iyo nyumba ya uwani, ila yaliyonipata ni mengi sn na siwez kuyaweka yote hapa.

Wageni walikua hawakatiki na familia kimaadili inavurugika kila sikU.

Nowdays,
Nakaa nyumba NDOGO TU ya vyumba 4 kuwatosha wanafamilia wangu Wote, na Sina chumba za ziada Wala Cha dharura.

Nna miti miwili ya kivuli na viti 6 vya plastiki na meza 2 kwa ajili ya kuwapokea wageni nje ya nyumba yangu ila ndani ya uzio.

Wageni Wote wa kulala ntawapeleka GESTI AU LODGE.

Wageni wa kuingia ingia ndani ya Nyumba yangu ni marufuku.

Narudia Tena, NI MARUFUKU
🤣🤣
 
Binafs sipendagi kwenda kwenda ovyo kwa watu.

Na wanangu wote nimewafundisha ivyo, kwenda kwenda kwa watu ovyo sitaki.

Na Mimi sipendi Watu waje waje ovyo nyumbani kwangu,

Marafiki Zangu wote tukutane uko makazini, bar au mitaani uko. Kwangu sitaki, ukiikosa appointment na Mimi uko nilikotaja.
NIKISHAFIKA KWANGU USINIFATE.

Ata niende mkoa nnaojua Kuna ndugu Zangu,
Ntaenda TU kusalimia ila kama Ni ishu ya kulala , ntalala Zangu guest/lodge.

Kulala Kwenye nyumba za Watu sitaki KABISA.
Hahaa umetisha mkuu
 
NYUMBA ZA WAGENI au GUEST HOUSE zilizowekwa maalum kwa ajili ya kupokea wageni.

Tatizo wabongo skuhizi mmezigeuza kua SEX HOUSE kwenda mnapokua mnahitaji KUFANYA ngono.

Mambo ya kulaza wageni ovyo ovyo Nyumbani KWENU mtakuja kuleta MAJANGA Kwenye familia.
Sasa alternative hamna so hakuna sustainable option nyingine
 
Ukishakua na WAGENI wa Mara kwa Mara Nyumbani kwako unahatarisha usalama mzima wa familia yako.

Hasa hasa suala la maadili,
Mfano:
1. unamkaribisha mgeni anatumia vilevi kupindukia mfano sigara/bangi/pombe afu anashinda mchana kutwa nyumbani kwako na watoto Wako walioko likizo nyumbani.
Unategemea kimaadili wanao watasalimika?

2. Unamkarbisha mgeni wa kiume mwenye tabia ya uzinzi afu anakaa kwako mwezi mchana kutwa anazengea zengea TU Nyumbani kwako na binti zako wadogo.
Unategemea binti zako watasalimika?

3. Unamkarbisha mgeni wa kike mshirikina,
Afu anakaa kwako mwezi, sikU nzima anashinda na mkeo apo Nyumbani.
Hivi sikU ukija kuwekewa malimbwata na tego za kichawi utamlaumu Nani?

4. Unamkarbisha mgeni wa kike Ni mdangaji sugu mjini,
Afu anakaa kwako wiki/mwezi na sikU nzima anashinda na mkeo.
Hivi mkeo akianza kugongwa gongwa ovyo Unategemea utamlaumu Nani?

5. Unamkarbisha mgeni Ni JAMBAZI sugu Uko alikotokea,
Afu anashinda sikU nzima anazengea nyumabni kwako anachora TU ramani,
Hivi sikU ukija pigwa matukio utakuja mlaumu Nani?

Ni mengi Sana,
Ila sio Vema SAna kukaribisha karibishaa wageni hovyo Nyumbani kwako.

Niliwahi kua na iyo nyumba ya uwani, ila yaliyonipata ni mengi sn na siwez kuyaweka yote hapa.

Wageni walikua hawakatiki na familia kimaadili inavurugika kila sikU.

Nowdays,
Nakaa nyumba NDOGO TU ya vyumba 4 kuwatosha wanafamilia wangu Wote, na Sina chumba za ziada Wala Cha dharura.

Nna miti miwili ya kivuli na viti 6 vya plastiki na meza 2 kwa ajili ya kuwapokea wageni nje ya nyumba yangu ila ndani ya uzio.

Wageni Wote wa kulala ntawapeleka GESTI AU LODGE.

Wageni wa kuingia ingia ndani ya Nyumba yangu ni marufuku.

Narudia Tena, NI MARUFUKU
Mkuu ni kweli kabsa na kila mgeni si lazma aingie ndani au akae kama mgeni nimbishi wew mlaze sebleni nakwambia kesho yake lazma atajisepea tu kumjengea nyumba eti anakaa tegemea wageni wengi sana nyumbani kwako,, na hasa ishu za wizi asilimia kubwa wachora ramani ni watu wakaribu mafundi, wageni hao, waokota machupa na hata ukaingalia waliobiwa wengi waliochora ramani ni watu wa karibu, kuna jirani yangu aliibiwa escudo yake kwenye kufatilia kumbe kuna ndugu yao alikua anaazima kumbe kshachonga funguo siku akaja kuibeba wakakuta imetekelezwa huko na vifaa vingi hamna kumbana ndo akataja na vitu vikarudishwa so most cases iko hivo
 
Binafs sipendagi kwenda kwenda ovyo kwa watu.

Na wanangu wote nimewafundisha ivyo, kwenda kwenda kwa watu ovyo sitaki.

Na Mimi sipendi Watu waje waje ovyo nyumbani kwangu,

Marafiki Zangu wote tukutane uko makazini, bar au mitaani uko. Kwangu sitaki, ukiikosa appointment na Mimi uko nilikotaja.
NIKISHAFIKA KWANGU USINIFATE.

Ata niende mkoa nnaojua Kuna ndugu Zangu,
Ntaenda TU kusalimia ila kama Ni ishu ya kulala , ntalala Zangu guest/lodge.

Kulala Kwenye nyumba za Watu sitaki KABISA.
We uko kama mimi

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Watu tumekua na roho na tabia za ajabu sana, kila mtu atulie kwake.... tukutane tu kwenye group za WhatsApp huko.

Mgeni siku mbili tu kishazama hadi room ya house girl, usalama wa watoto upo wapi?????
Haya yote yametokea mara baada ya uwongozi wa awamu ya tano kuingia madarani.
 
Ukishakua na nyumba kubwa au nyumba ya nyuma, Ina vyumba wazi vipo kibao.

Kila mtu atajiskia kuja ovyo ovyo kwako, na bills zote utabeba wewe.

Wengine watakuja na wenza wao Moja kwa moja kuja kutafutia watoto nyumban kwako.

Jamaa ako anatoka kijijini anakuja na mkewe kukusalimia mjini kwa mkupuo wa miez 11.

Wakishamaliza kukusalimia wanarudi kwao na mtoto kabisa
Sioni shida kama nna uwezo wa kuwahudumia
 
Rafiki yangu alipata eneo la nusu heka, aliamua kujenga nyumba ya nyuma ya vyumba vitatu na kimoja ni en-suite. Kwa kweli sikumuelewa, ingawa vyumba viwili aliwapa dada na kaka wa kazi na ensuite aliiweka kwaajili ya wageni.

Uchaguzi uliopita baba yake alikua mmoja wa wazee wa chama kimoja. Walizunguka na mgombea wao wa u Rais mikoani. Kwakua Chama si Chama tawala, kila msaada unahitajika katika Chama. Walipofika mkoa anaoishi rafiki yangu mzee alikwenda na wenzake watano kuishi pale kwa siku tatu.

Wakati huo huo mke wake alikua amejifungua na mama mkwe pamoja na mashemeji walikuwepo. Ile nyumba ya nyuma ilimsaidia kwa kiasi kikubwa.

Kama una uwezo nyumba ya nyuma ni muhimu.
Nyumba ya mbele tu kujenga inatutoa jasho. Hata hatujamaliza, tunaambiwa na nyumba ya nyuma tena.
 
Back
Top Bottom