Kama una uwezo jenga nyumba ya nyuma ni muhimu sana

Rafiki yangu alipata eneo la nusu heka, aliamua kujenga nyumba ya nyuma ya vyumba vitatu na kimoja ni en-suite. Kwa kweli sikumuelewa, ingawa vyumba viwili aliwapa dada na kaka wa kazi na ensuite aliiweka kwaajili ya wageni.
Yaani umeandika utopolo mtupu. Yaani hii ndo justification yako?
 
Back
Top Bottom