Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Tunawataja na kuwasifia kina newton na galileo kila siku ila pana genius mmoja tunam underrated lakini alileta mapinduzi makubwa katika sekta ya mapenzi si mwingine ni yule alie gundua style ya chuma mboga aisee jamaa aliumiza sana kichwa ila hatumuadhimishi wanamume tunakwama wapi?
Na vipi dog style?!
 
20210801_211325.jpg
 
Nimekwenda police wananiambia ndugu yangu wamemuweka lockup khalafu pana nchi kutokana na corona wamewekwa lockdown aah kingereza kigumu jamani
 
Chuma mboga, mbuzi kagoma na dog style jaman tofauti ni nini?
mbuzi kagoma mikono ya mtoto mzuri inakuwa chini alafu ameikunja then anapiga magoti ,dog style bebez anainama ila mikono haigusi chini ,mara nyingi mikono hushika magoti . chuma mboga anainama bila kukunja miguu na mikono alafu anashika chini kwa viganja vya mikono.ila yote kwa yote mbuzi kagoma ndo utamu ulipo
 
Back
Top Bottom