Eye test. Wengine wataangukia pua.
Ebu sema, nini umeona kwa pikcha hii.View attachment 1178773
...ni wewe uko na shida...PAPUCHI..
Mwalimu kaniulizaa kama mtoto mdogo anaitwa mchanga... Je mtu mkubwa anaitwaje? ... Nikamjibu anaitwa kokoto..... Ameniitaa staff room labda atakuwa ameniitia chai
Huyu mwalimu ana roho nzuri sio kama mwl Msigwa
Hii kali
Wanyakyusa hawaWadada wa MjiniView attachment 1186550
Na kuna ile kafunge mlango kwanza. Aiseee
This is for real.View attachment 1186122