Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 13,191
- 21,522
Jojo kwenye avatar ndo mwenyew*Tafadhali Ukialikwa Nenda Kale Sepa Mambo Ya Kusumbua Watoto Wa Aliyekualika Mara Unasoma Darasa La Ngapi Mara Nihesabie Mpaka 10, nitajie table ya 6 Hatutaki*
Hii sindio ile staili ya Gwaji boyAbayeelewa tunakoelekea atupe muongozo.View attachment 1132176
Jojo kwenye avatar ndo mwenyew
avatar gani hyo inaleta stress hukiMkuu soma jox utoe Stress mambo ya kufukunyua hadi Avatar za watu siunazidi kujiongezea Stress
Jojo kwenye avatar ndo mwenyew
HAHAHAHAHAAAAAA DUH
Ndege ilipata hitilafu angani Ndipo rubani akatoa taarifa kwamba ndege imepata hitilafu na itadondoka baada ya dakika 10. Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano Lakini maparashuti yalikuwa manne tu.
Watu hao ni mchungaji, waziri, mwanajeshi, Msukuma na mwanafunzi wa chekechea, Mchungaji akasema yeye anategemewa na kanisa hivyo hapaswi kufa. Akachukua parachute akaruka. Waziri akasema wananchi wanamtegemea alete maendeleo, Akachukua parachute akaruka. Msukuma akasema familia inamtegamea akachukua parachute akaruka faster.
Wakabaki mwanajeshi na mwanafunzi wa chekechea. Yule mjeshi akamtazama mwanafunzi akamuonea huruma kisha akasema. Mimi najitolea kufa kwa ajili yako, we chukua hilo parachute lililobaki ujiokoe halafu mi ntakufa na hii ndege.
Yule mwanafunzi akajibu "usijali yamebaki maparashuti mawili" yule mjeshi akashangaa akauliza mawili kivipi.? Mwanafunzi akasema YULE MSUKUMA KACHUKUA BEGI LANGU LA SHULE ALIDHANI NI PARASHUTI.
Shida moja wanacheleweshaga misosi hadi mtu unajiingiza kuwafanyia intavyuu zisizo rasmi watoto wa mwenyeji ili kupitisha muda!*Tafadhali Ukialikwa Nenda Kale Sepa Mambo Ya Kusumbua Watoto Wa Aliyekualika Mara Unasoma Darasa La Ngapi Mara Nihesabie Mpaka 10, nitajie table ya 6 Hatutaki*
"OG"Jojo kwenye avatar ndo mwenyew
Waungwana kama utamsikia mtu anauza gari aina ya v8 new model nzuri, ina vibali vyote.
Kwa bei kati ya milion 600 mpaka 500 rangi yoyote haina shida. Wee mwache tu auze mi sina hela
Kuna jamaa kwenye daladala hapa anaongea na simu ilikuwa hivi "haloo leo sitaweza kuja kwani nimepanda gari moja na mumeo"
unaambiwa wanaume wote wenye wake wamemng'ang'ania jamaa aonyeshe hiyo namba aliyokuwa anaongea nayo.
Harusi za Marekani
Walioalikwa :100
Wanaohudhuria kanisani :80
Wanaohudhuria ukumbini :70
Wanaotoa Zawadi:65
Vitu vilivyopotea : 0
Harusi za Uingereza
Walioalikwa :50
Wanaohudhuria kanisani :50
Wanaohudhuria ukumbini :40
Wanaotoa Zawadi:40
Vitu vilivyopotea : 0
Tanzania sasa
Walioalikwa :500
Wanaohudhuria kanisani :38
Wanaohudhuria ukumbini :1300
Wanaotoa Zawadi:70
Vitu vilivyopotea : simu 20,vijiko 300,visu vya kukatia keki 15, camera 1,chupa 2 Za wine, mdada kutongozwa na kudate na Mgeni mmoja wapo, wavulana kutafuta demu mpya, zawadi kuibwa, viti vilivyovunjika 50,meza zilizovunjika 5,watu kuondoka na mapambo, wamama kuondoka na misosi na nyama kwenye mikoba sijui huwa tunakwama wapi.
Tupo kwenye kampeni ya kutokomeza askari feki Kwa kufanyaje?Ukimkuta askari yeyote mzabe kibao.Jana nilimzaba kibao mwanajeshi akakimbia nikajua huyo alikuwa feki.Tusaidiane kutokomeza askari feki nchini.Ukimuona askari we mzabe kibao akikimbia jua huyo ni feki Asipokimbia Mungu akutie nguvu
Rafiki yangu alikuwa
amesinzia tukiwa darasani,
nikachukua simu yake
nikabadilisha alivyosave
namba yangu nikasave "lovely
dad" (ndivyo alivyokuwa
amesave jina la baba yake
mzazi)
Nikamtumia SMS "mwanangu
nimeshinda millioni 100 toka
BIKO, na sasa hivi tutakuwa
na maisha mazuri. Acha
shule njoo tupange tutafanya
biashara gani"
Rafiki yangu baada ya
kusoma sms akanyanyuka na
kukusanya kila kilicho chake
akaanza kuondoka.
Alipofika mlangoni mwalimu
akamuuliza unaenda wapi
bila kuomba ruhusa?
Akageuka akamwonyesha
mwalimu kidole cha kati,
akaachia mfyonzo mkali kisha
akasepa.
Sasa hivi ananisaka kinyama,
nani anajua sehemu nzuri ya
kujifichia
Hii movie nimeielewa sana. Naomba jina niipakueHii movie nikiiangalia ikifika sehemu hii huwa siwezi kula maana nitapaliwa View attachment 1120493
Scarry movieHii movie nimeielewa sana. Naomba jina niipakue