Mkuu wa Kibiti
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 776
- 1,135
Hamna atakuwa walipiga tu picha wakati mkeo anaoga ndio akamtuma sokoni akalete kachumbari ya maboga ndio ukapiga simu
Hivi ni kweli eeh!?
Hivi ni kweli eeh!?
Mimi hoiHarusi za Marekani
Walioalikwa :100
Wanaohudhuria kanisani :80
Wanaohudhuria ukumbini :70
Wanaotoa Zawadi:65
Vitu vilivyopotea : 0
Harusi za Uingereza
Walioalikwa :50
Wanaohudhuria kanisani :50
Wanaohudhuria ukumbini :40
Wanaotoa Zawadi:40
Vitu vilivyopotea : 0
Tanzania sasa
Walioalikwa :500
Wanaohudhuria kanisani :38
Wanaohudhuria ukumbini :1300
Wanaotoa Zawadi:70
Vitu vilivyopotea : simu 20,vijiko 300,visu vya kukatia keki 15, camera 1,chupa 2 Za wine, mdada kutongozwa na kudate na Mgeni mmoja wapo, wavulana kutafuta demu mpya, zawadi kuibwa, viti vilivyovunjika 50,meza zilizovunjika 5,watu kuondoka na mapambo, wamama kuondoka na misosi na nyama kwenye mikoba sijui huwa tunakwama wapi.
Aaah Ndo maana sasa Daah.!!Hamna atakuwa walipiga tu picha wakati mkeo anaoga ndio akamtuma sokoni akalete kachumbari ya maboga ndio ukapiga simu
du unataka kuona na mbunye??Kinadada pale mnaposema"Nipo kitandani nimejilaza"Alaf sisi tunawaambia "hebu nione"sio kwamba tunataka kuona sura tu..
HaaahaTulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda
Konda- bibi twende sit kibao ata utalala
Bibi - oooh sawa mjukuu
Konda - simama tu apo wanashuka mbele
Bibi - akacheka sana tu
Konda- mbona unacheka bibi
Bibi - mjukuu hawa wote hawashuki wanakufa apo mbele
Watu- simamisha gar
Saiv bibi kabaki mwenyewe amelala sit ya nyuma..mi napga gia tu ctk mchezo na konda.
Huna hela alaf unalala unakoroma??!Hicho ni kiburi.
Imagine una mpa moyo wako mtu anaekula mhindi namna hii , kuna vitu vikikutokea usilalamikeView attachment 1097613
😁😁😁Imagine una mpa moyo wako mtu anaekula mhindi namna hii , kuna vitu vikikutokea usilalamikeView attachment 1097613