Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

MGONJWA....Daktari Mimi tumbo langu hunisokota pindi ninapo kula... DAKTARI......Unakula matunda? Mgonjwa..... Ndio Daktari...…. OSHA matunda vizuri kisha kula NA maganda yake Itakusaidia Mgonjwa ....kimyaaaaa...... Mbona kimya hunijibu kitu. Mgonjwa,....NAFKIRIA HAYO MAGANDA DAKTARI, ...KWANI UNA TUMIA MATUNDA GANI? MGONJWA,...... MADAFU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapo daktari ilibidi atoke nje kwanza akanywe Maji,
 
Kuna jamaa alipata matatizo kazini kwake ikafika hadi kutishiwa kufukuzwa kazi na bosi wake.... _Basi jamaa akampigia mama yake simu akawa anamuelezea yaliyomkuta,, mama akasikitika sana na akawa anamuwazia sana mwanae kwani alimpenda sana..._ _Jioni jamaa akapigiwa simu na baba yake akimuuliza kama amemwambia mkewe matatizo yake,_ _Jamaa akamjibu; "hapana baba sikumwelezea, si unajua tena mambo ya wanawake!!?" Baba ake akamuuliza,, _sasa kama umeshindwa kumwambia mkeo kwanini umemwambia mke wangu hadi saivi hana amani???πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
FB_IMG_1547278674194.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom