Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,535
.....hizo ni fujo, mola hapendi.... mmoja hapo atabadilishiwa kikojoleo sasa hivi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
*mke* alimwambia mume wake,
_"mume wangu safari hii zawadi yangu ya X-mas nataka idumu mwaka mzima"_
*mume* jasho lilimtoka, akatafakari sana, mwisho akakumbuka zawadi nzuri.
_akaenda kamnunulia kalenda ya 2019_
mpaka muda huu inasemekana wana wiki hawaongei
HahaaaJamaa yangu ananiambia shule sawa alikuwa hapati mia ila cha ajabu hata penye simu yake aki charge inaisha 75%
Hahaaa aiseeMwanamke mwembamba ukimpiga Kofi la matakon, linatoa mlio kama wa sreenshoot
BwahahaaaaaaaaDokta alikuwa anakwenda kuwinda hivyo akamuachia majukumu assistant wake Jason. Dokta: "Jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako na angalia wagonjwa wote!" Jason: "Ndio mkuu!" Baada ya kurudi dokta akamuuliza vp mambo yalikwendaje kwa Jason.. Jason: " Nliwashughulikia wagonjwa wa3! Wa1 kichwa kilikuwa kinamuuma nikampa panadol" Dokta: "Safi sana na wapili?" Jason: "Wa2 alikuwa anaumwa na 2mbo na kama linavuruga alisema, nikampa flagyl" Dokta: "Bravo, wee safi sana na wa3 je? Jason: "Dokta nlikuwa nimekaa ghafla mwanamke akaingia na akavua nguo zote akabaki mtupu na akalala kwenye meza. Akapanua miguu na kupiga kelele nisaidie dokta kwa miaka mi5 sijamuona mwanaume! Dokta: "Mungu wangu na ukafanyaje sasa?" Jason: "Nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho yake!"
Ukiingiwa na shetwan wa "kusukuma nyama" si mchezo man.Hahahahahah,imenikumbusha miaka ya 2000 nilikuwa kisiwa kimoja huko lake Victoria kinaitwa Bulongero sasa kule usiku wanatumia majenereta kufua umeme so wanatumia zile bulb za mwanga mdogo,so kinywaji kimekolea kikaingia kidemu fulani plus na mwanga hafifu kilikuwa kinawaka mie nikavuta mzigo muda si mrefu tukazama gesti yenyewe ya mabanzi mwanga ni uleule nikapiga mashine
Asubuhi kumcheki demu ni kituko kwanza alikuwa na lile goitre la shingoni utadhani ndege joni/marbhour stock,mezani naona bukta 3,plus tight 2 na chupi na juu kapiga jeans. Means tako lilikuwa linalingana kichwa cha mtoto,pozi lote liliisha.Halafu ndo linakomaa kuniita dear dear
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaa ....Katika kikao cha familia, kichaa wa hiyo familia alisimama kabla wengine hawajaongea nakusema: nashangaa kuona hali ya familia yetu,naona kama inalaaniwa mana katika familia hakuna hata mbunge,askari, mwanamuziki; yaani mimi mwenyewe nisingekazana hata kichaa asingekuepo kikao kiliishia hapo mana kila mtu aliondoka
Rafik angu kachora tatoo ya jina la dem wake juzi... leo kaskia dem wake anaolewa nipo nae apa tunasubiri pasi ipate moto...
Hahaa eti dear dear hahaaHahahahahah,imenikumbusha miaka ya 2000 nilikuwa kisiwa kimoja huko lake Victoria kinaitwa Bulongero sasa kule usiku wanatumia majenereta kufua umeme so wanatumia zile bulb za mwanga mdogo,so kinywaji kimekolea kikaingia kidemu fulani plus na mwanga hafifu kilikuwa kinawaka mie nikavuta mzigo muda si mrefu tukazama gesti yenyewe ya mabanzi mwanga ni uleule nikapiga mashine
Asubuhi kumcheki demu ni kituko kwanza alikuwa na lile goitre la shingoni utadhani ndege joni/marbhour stock,mezani naona bukta 3,plus tight 2 na chupi na juu kapiga jeans. Means tako lilikuwa linalingana kichwa cha mtoto,pozi lote liliisha.Halafu ndo linakomaa kuniita dear dear
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaJanuary ngumu sana, kuna jamaa anauza paka, sasa ananilazimisha nimnunue, nimemwambia kwangu hakuna panya. Basi ameniambia panya atawaleta jioni
Sent using Sattelite c1175b
Ha ha ha ha aiseeUSIJIONE MJUAJI SAAAA…NA. Jamaa kamaliza chuo anarudi nyumbani kwa wazee, kufika nyumbani. kwa furaha waliopata wazazi, mama aliamua kurosti kuku WAWILI(2) kwa ajili yao. Mezani jamaa akataka kuwadhihirishia kuwa yeye ni msomi, akawaambia "hawa kuku unaona wako wawili ila kwa kutumia sheria za arthematic na geometric kuna kuku watatu mezani" mama"hee embu tuoneshe mwanangu" jamaa akachukua kuku ya kwanza akainua juu "ngapi?" wazazi"moja" akainua wa pili "ngapi?" wazazi "mbili" akawarudisha akisema"wazee wangu nadhani japo shule hamkwenda ila mnajua moja+mbili=tatu so tuna kuku watatu mezani" baba"mmh kweli mwanangu umesoma. SASA TUFANYE IVI MIMI NACHUKUA KUKU MOJA NA MAMA YAKO WA PILI WE UTAKULA UYO WA TATU ULIYOSEMA
HahaaHakuna kitu kinaumiza roho kama kutumwa kusaga unga sikukuu, tena unaambiwa upitie na maharage