Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

.....hizo ni fujo, mola hapendi.... mmoja hapo atabadilishiwa kikojoleo sasa hivi....
20190110_212749.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dokta alikuwa anakwenda kuwinda hivyo akamuachia majukumu assistant wake Jason. Dokta: "Jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako na angalia wagonjwa wote!" Jason: "Ndio mkuu!" Baada ya kurudi dokta akamuuliza vp mambo yalikwendaje kwa Jason.. Jason: " Nliwashughulikia wagonjwa wa3! Wa1 kichwa kilikuwa kinamuuma nikampa panadol" Dokta: "Safi sana na wapili?" Jason: "Wa2 alikuwa anaumwa na 2mbo na kama linavuruga alisema, nikampa flagyl" Dokta: "Bravo, wee safi sana na wa3 je? Jason: "Dokta nlikuwa nimekaa ghafla mwanamke akaingia na akavua nguo zote akabaki mtupu na akalala kwenye meza. Akapanua miguu na kupiga kelele nisaidie dokta kwa miaka mi5 sijamuona mwanaume! Dokta: "Mungu wangu na ukafanyaje sasa?" Jason: "Nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho yake!"
Bwahahaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahah,imenikumbusha miaka ya 2000 nilikuwa kisiwa kimoja huko lake Victoria kinaitwa Bulongero sasa kule usiku wanatumia majenereta kufua umeme so wanatumia zile bulb za mwanga mdogo,so kinywaji kimekolea kikaingia kidemu fulani plus na mwanga hafifu kilikuwa kinawaka mie nikavuta mzigo muda si mrefu tukazama gesti yenyewe ya mabanzi mwanga ni uleule nikapiga mashine
Asubuhi kumcheki demu ni kituko kwanza alikuwa na lile goitre la shingoni utadhani ndege joni/marbhour stock,mezani naona bukta 3,plus tight 2 na chupi na juu kapiga jeans. Means tako lilikuwa linalingana kichwa cha mtoto,pozi lote liliisha.Halafu ndo linakomaa kuniita dear dear

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiingiwa na shetwan wa "kusukuma nyama" si mchezo man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kikao cha familia, kichaa wa hiyo familia alisimama kabla wengine hawajaongea nakusema: nashangaa kuona hali ya familia yetu,naona kama inalaaniwa mana katika familia hakuna hata mbunge,askari, mwanamuziki; yaani mimi mwenyewe nisingekazana hata kichaa asingekuepo kikao kiliishia hapo mana kila mtu aliondoka
Ahahaaa ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahah,imenikumbusha miaka ya 2000 nilikuwa kisiwa kimoja huko lake Victoria kinaitwa Bulongero sasa kule usiku wanatumia majenereta kufua umeme so wanatumia zile bulb za mwanga mdogo,so kinywaji kimekolea kikaingia kidemu fulani plus na mwanga hafifu kilikuwa kinawaka mie nikavuta mzigo muda si mrefu tukazama gesti yenyewe ya mabanzi mwanga ni uleule nikapiga mashine
Asubuhi kumcheki demu ni kituko kwanza alikuwa na lile goitre la shingoni utadhani ndege joni/marbhour stock,mezani naona bukta 3,plus tight 2 na chupi na juu kapiga jeans. Means tako lilikuwa linalingana kichwa cha mtoto,pozi lote liliisha.Halafu ndo linakomaa kuniita dear dear

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa eti dear dear hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USIJIONE MJUAJI SAAAA…NA. Jamaa kamaliza chuo anarudi nyumbani kwa wazee, kufika nyumbani. kwa furaha waliopata wazazi, mama aliamua kurosti kuku WAWILI(2) kwa ajili yao. Mezani jamaa akataka kuwadhihirishia kuwa yeye ni msomi, akawaambia "hawa kuku unaona wako wawili ila kwa kutumia sheria za arthematic na geometric kuna kuku watatu mezani" mama"hee embu tuoneshe mwanangu" jamaa akachukua kuku ya kwanza akainua juu "ngapi?" wazazi"moja" akainua wa pili "ngapi?" wazazi "mbili" akawarudisha akisema"wazee wangu nadhani japo shule hamkwenda ila mnajua moja+mbili=tatu so tuna kuku watatu mezani" baba"mmh kweli mwanangu umesoma. SASA TUFANYE IVI MIMI NACHUKUA KUKU MOJA NA MAMA YAKO WA PILI WE UTAKULA UYO WA TATU ULIYOSEMA
Ha ha ha ha aisee
 
317 Reactions
Reply
Back
Top Bottom