Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

.
IMG-20200303-WA0002.jpeg
tapatalk_1493841001159.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay, kumbe unaielewa hali yako!
Karibu..

Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji... Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.
Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.
 
Okay, kumbe unaielewa hali yako!
Karibu..

Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji... Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.
Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.
 
Dada mmoja alikwenda kwenye duka la wanyama kununua kasuku.

mambo yakawa hivi:

*DADA:* Nimekuja kununua kasuku.
*MMILIKI:* Nina aina mbili ya kasuku aina ya kwanza anarudia kila kitu unachozungumza na aina ya pili anafikiria mwenyewe kisha anazungumza"
Je ww unamtaka yupi?

*DADA:* Nadhani namtaka anayefikiria mwenyewe.

(MMILIKI akamletea dada kasuku kulingana na alivochagua kisha akaambiwa amfanyie majaribio.)

*DADA:* Naonekanaje?
*KASUKU:* Unaonekana kama kahaba.
*DADA:* "...kwa hasira..." "Siwezi kununua kasuku kama huyu! Hana adabu!"

*MMILIKI:* Samahani dada naomba unisubili kidogo.....(akampeleka kasuku nyuma ya duka na kumzamisha kwenye ndoo ya maji kisha akamuonya, "kama ukirudia tena kumkosea adabu yule dada ntakuja nikuloweke kwenye maji siku nzima.

". MMILIKI aliporudi kaunta akamuomba dada amjaribishe kasuku kwa mara nyingine na akamsihi akisema ".kwa sasa unaweza kumuuliza chochote naamini atakujibu vizuri bila matatizo yoyote"

MAJIBIZANO YAKAWA KAMA HIVI:
*DADA:* Kama nikirudi nyumbani usiku wa manane na nikaja na mwanaume huyo mwanaume atakuwa ni nani?
*KASUKU:* Mume wako!
*DADA:* Vizuri! vipi kama nikija na wanaume wawili?
*KASUKU:* Mume wako & shemeji yako.
*DADA:* Vzuri! Vizuri sana" kama nikija na wanaume watatu je?
*KASUKU:* Atakuwa ni mume wako,shemeji yako na kaka yako!
*DADA:* Waooooooo!!! Vipi kama nikija nyumbani na wanaume wanne?
*KASUKU:* (Akageuka nyuma akamwangalia mmiliki wake ) . . . . kisha akasema *"Tafadhali kaniloweke kwenye maji, nilishasema mapema kwamba huyu mwanamke ni kahaba!!!*
 
BIBI KIZEE ABAKWA:
HAKIMU: Bibi ieleze mahakama kilichotokea
BIBI: Nililala nyumban kwangu mara mlango ukavunjwa na akaingia kijana yule pale
HAKIMU: Endelea
BIBI: Akanivua nguo zote kisha akanipanda
HAKIMU: Enhe!
BIBI: Akawa anakata kulia mm kushoto, nilimpa mauno cmchezo, alidhani mm siyajui mambo!
HAKIMU: daa! Sasa nn kilichokuleta mahakamani?
BIBI: Ajenge ule mlango aliovunja tu basi. Lakini usiku aje kama kawa......
 
Jamaa Flani Watatu Walienda
Kupanga Chumba Hotelin
Wakapewa Chum ba Ghorofa Ya
90.
Siku Moja Wakati Wanarudi
Hotelin Kulala Wakakuta Umeme
Umekatika Wakashindwa Kutumia
Lifti Wakaamua Kupanda Ngazi
Lakini Kwakua Ni Mbali Sana
Mpaka Ghorofa Ya 90
Wakakubaliana Mmoja Apige
Stori za Kutisha Mpaka Ghorofa
Ya 30 Na Mwingine Stori za
Vichekesho Mpaka Ghorofa Ya 60
Na Watatu Stori za kuhuzunisha
mpaka Ghorofa Ya 90,
Wa Kwanza Akapiga Stori Za
Kutisha Mpaka Ghorofa Ya 30,
Wa Pili Za Vichekesho Mpaka
Ghorofa Ya 60, Ilipofika Zamu Ya
Watatu Akasema " Stori Ya
Kusikitisha Ni Kwamba
Tumesahau Funguo Reception."
 
Basi utaondoka na stress..!

Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!


Future
Teh teh teh bibi bwana
 
317 Reactions
Reply
Back
Top Bottom