Kama una stress, Pitia hapa! Usiache kutupia na wewe maneno yako!

SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
102,297
Points
2,000
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
102,297 2,000
*WISE WORDS FOR MEN#*

BETTER TO DATE DEM MREMBO MNONO kuliko kudate dem mkonde, juu huwezi jua kama amekuja kwako juu ya mapenzi ama juu ya chakula.
 
King Victor

King Victor

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2016
Messages
442
Points
250
King Victor

King Victor

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2016
442 250
*Mwalimu mmoja aliita wanafunzi wake akawaambia''Kesho kila mwanafunzi aje na nyanya kulingana na idadi ya watu anaowachukia, Yaani kama unamchukia mtu mmoja uje na nyanya moja kama ni wawili basi njoo na nyanya mbili vilevile.* *Nyanya hizo mtazibeba kwenye mabegi yenu ya kubebea madaftari na vitu vingine vya shule* *"Wanafunzi wakakubali halafu kesho yake wanafunzi wakazibeba zile nyanya vizuri kabisa wengine walibeba moja,wengine mbili na wengine nyingi sana.* *Kama mwalimu alivyosema zile nyanya zikapewa majina ya watu ambao wanafunzi wanawachukia*. *Baada ya kuzipa hizo nyanya majina mwalimu* *akawaambia kila mwanafunzi azirudishie nyanya zake kwenye begi lake halafu aziache humo humo ndani ya begi kila siku awe anakuja nazo shuleni na kurudi nazo nyumbani.* *Baada ya siku kadhaa wanafunzi wakaanza kulalamika hasa wale waliobeba nyanya nyingi kuwa nyanya ni nzito sana na zinatoa harufu mbaya na zinaharibu vitu vyao vizuri walivyoweka kwenye mabegi yao* *Mwalimu akawaambia hivi ndivyo ilivyo mtu unapoweka watu usiowapenda moyoni* *kama mtu huwezi kuvumilia kukaa na harufu ya nyanya* *kwenye begi vipi kuhusu madhara ambayo moyo wako unayapata kwa kuubebesha mzigo wa chuki dhidi ya watu.?* *Moyo unapata madhara makubwa sana unapobebeshwa chuki kila wakati kila siku moyo unakuwa na chuki na hapo ndipo unaharibika* *na kusababisha kuharibu hata vitu vingine vizuri vilivyokoko moyoni mwako. Moyo ni kama lile begi la kubebea madaftari unahitaji kubeba vitu vizuri na visivyo na chuki ndani yake* *Safisha moyo kwa kusamehe wanaokukosea, jifunze kusamehe maana ni moja ya virutubisho vya moyo wako,Samehe kwa kila anayekukosea na kukukwaza.*
Good

Love and peace
 
Jane Msowoya

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Messages
1,929
Points
2,000
Jane Msowoya

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2017
1,929 2,000
At first Facebook came out with “someone poked you”
Then it came to “someone waved you”
Soon it’ll be "someone fingered you”

Utakuwa ukiamka asubuhi unakuta Kemi, nomi, jonte and 8 others fingered you
Hahahahqhaj,mkuu nimecheka sana

Jane fingered you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
16,823
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
16,823 2,000
Hivi na baridi lote hili wale Wachawi bado wanapaa nje na ungo usiku tena bila nguo???!!!


ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 

Forum statistics

Threads 1,316,364
Members 505,596
Posts 31,887,870
Top