Kama una stress, Pitia hapa! Usiache kutupia na wewe maneno yako!


Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Messages
6,377
Likes
7,176
Points
280
Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
Joined May 1, 2016
6,377 7,176 280
Katika kikao cha familia, kichaa wa hiyo familia alisimama kabla wengine hawajaongea nakusema: nashangaa kuona hali ya familia yetu,naona kama inalaaniwa mana katika familia hakuna hata mbunge,askari, mwanamuziki; yaani mimi mwenyewe nisingekazana hata kichaa asingekuepo kikao kiliishia hapo mana kila mtu aliondoka


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kinandinandi

kinandinandi

Senior Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
166
Likes
116
Points
60
kinandinandi

kinandinandi

Senior Member
Joined Apr 3, 2015
166 116 60
"Msenge afikishwa mahakamani"...
Hakimu: hebu jitete maana ni kinyume na sheri za nchi kufanya ushoga??
Msenge: bwana hakimu sikujua kama matako yangu ni mali ya serekali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
114,478
Likes
497,237
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
114,478 497,237 280
Wakati tupo form3 mwalim aliandika neno "PESNI" ubaoni akasasema tuliandike vizuri ili kuleta maana sahihi......_* _Walioandika *SPINE* wanasoma udaktari saiv, wale walioandka sawa na mimi ndo wanasoma hii textπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
114,478
Likes
497,237
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
114,478 497,237 280
MGONJWA....Daktari Mimi tumbo langu hunisokota pindi ninapo kula... DAKTARI......Unakula matunda? Mgonjwa..... Ndio Daktari...…. OSHA matunda vizuri kisha kula NA maganda yake Itakusaidia Mgonjwa ....kimyaaaaa...... Mbona kimya hunijibu kitu. Mgonjwa,....NAFKIRIA HAYO MAGANDA DAKTARI, ...KWANI UNA TUMIA MATUNDA GANI? MGONJWA,...... MADAFU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapo daktari ilibidi atoke nje kwanza akanywe Maji,
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
114,478
Likes
497,237
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
114,478 497,237 280
Kuna jamaa alipata matatizo kazini kwake ikafika hadi kutishiwa kufukuzwa kazi na bosi wake.... _Basi jamaa akampigia mama yake simu akawa anamuelezea yaliyomkuta,, mama akasikitika sana na akawa anamuwazia sana mwanae kwani alimpenda sana..._ _Jioni jamaa akapigiwa simu na baba yake akimuuliza kama amemwambia mkewe matatizo yake,_ _Jamaa akamjibu; "hapana baba sikumwelezea, si unajua tena mambo ya wanawake!!?" Baba ake akamuuliza,, _sasa kama umeshindwa kumwambia mkeo kwanini umemwambia mke wangu hadi saivi hana amani???πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Forum statistics

Threads 1,250,897
Members 481,523
Posts 29,749,978