*Looku Looku*
*Ukimchoka mkeo, waweza kumtaftia sababu za kumuacha kama hizi*
_________
1. *Missed calls 16? Umeua betri la simu yangu. Kwa hiyo hata mimi unaweza kuniua... It's Over!!!*
_
2. *Hata hunieshimu. Mi naongea na wewe lakini we upo bize unavuta pumzi? It's over!*
_
3. *Nimekupigia umepokea simu hapohapo. Huna subira. It’s over!!*
_
4. *Nilikwambia huwa napenda chakula cha moto lakini hujanipashia ice cream. Hunijali. It's over!*
_
5. *Nimekupa mayai mawili, moja uchemshe jingine ukaange. We umekaanga ambalo ulitakiwa kuchemsha na umechemsha ulilotakiwa kukaanga. Huniheshimu, It’s over!*
_
6. *Nimekuita DARLING na wewe ukaniita HONEY. Yani kwa maana nyingine unamuita mama yangu NYUKI. Huheshimu wazazi wangu, fungasha kilicho chako. its over.*
Duu aiseeUkitembea na demu mweusi halafu mwembamba, ukiwa umemshika mkono utasema umeshika waya wa USB
kuoa wake wengi na kuwa na michepuko mingiHivi sisi waafrika, ni mchezo gani mwingine ambao tukishiriki katika level ya kimataifa tunaweka heshima !? Ukiacha Soka?