Kama una rafiki yako ametokea Moshi na Gari BMW white namba T223 DPU amepata ajali Mombo

Kwa mara ya pili nimemuuliza mtu mwingine yuko kwenye big insurance company, kasema Comp insurance hata ukiwa na makosa unalipwa. Kusema ukweli wewe ndio mtu wa kwanza namsikia akisema ukiwa na makosa hulipwi hata ukiwa na comp insurance.

Sio mimi kasome sheria ya insurance.. utajifunza kitu

Ingekuwa wanalipa lipa tu wangeshafirika kkwajinsi wa africa tulivyo wezi na wabinafsi.. watu wangekuwa wanajipa ajali ili walipwe gari lingine
 
Nafikiri ukubali tu kwenye hilo umeteleza. Nimeuliza watu wenye uzoefu na wanafanya insurance business na wameniambia usemacho si kweli.
 
Siwezi kukubali uongo

Nenda kasome sheria ya bima za magari, kifungu namba 4 (1) na (2) cha motor vehicle insurance ordinance cap 169 ili uelewe vizuri kuhusu hoja yako
 
Nafikiri ukubali tu kwenye hilo umeteleza. Nimeuliza watu wenye uzoefu na wanafanya insurance business na wameniambia usemacho si kweli.

Mimi najua vizuri hayo mambo sababu mzazi wangu mmoja ni mwalimu wa udereva NIT miaka mingi.. na pia hata police kitengo cha vehicle wanaotoa leseni yeye ndie anawafundisha sana pale NIT . So nimesoma sana vitabu vyake... na hata nikikaa nae napendaga kumdodosa nijue zaidi

Ndio maana napenda kutumia sheria kujibu hoja.. sababu nazisomaga somaga tu nijifunze
 
Sawa mkuu.
 
Haya umeshinda.

Humu tunafundishana.. kuna vitu najifunza kutoka kwa watoa hoja.. nami napenda kufundisha nayotajua ili wote tujifunze..

Kuna msemo unasema kutojua sheria hakukufutii kosa mahakamani kama umelifanya.. huwez kusema sikujua kama sheria inasema hivi naombeni mnisamehe sikujua
 
Hivi Mtu anaanzaje kuanzisha ligi kuhusu nini kisimame kati ya Treni na Gari?

Mambo mengine ni common sense tu, hivi dude linalokokota Mabehewa karibia ishirini tena ni mazito haswa litawezaje kusimama kwa ghafla, si hayo Mabehewa yote yatapandiana na kusambaa? hiyo injini inazuiaje Mabehewa yote hayo iwapo itasimama ghafla?

Athari ya Treni kusimama ghafla ni kubwa sana ndio maana hakuna Dreva wa Treni anayethubutu kufanya huo ujinga, anaweza kweli kuona Gari lipo njiani lakini wanachofanya ni kufunga macho na kupita nalo.

Wanachofanya Wenye Magari wengi ni kufanya hesabu vibaya, wengi hudhani kwamba wanaweza kuiwahi Treni.
 
Dah....naomba nikuite Dr. Bu'yaka ...kuanzia leo

Kwanza nikishukuru kwa heshima hiyo ulonipa.

Lakini pamoja na kukubali huo "udokta wa Kikwete" niseme tu kwamba haikuwa kwa akili zangu mwenyewe bali ni kwa kupata EXPOSURE!!!!

Nchi za mbele treni ikiua ni TRENI NDIO INALIPA FIDIA!

KOSA LINAKUWA NI LA TRENI!

Nakiri wazi kabisa ningekuwa sijawahi kutoka humu dark continent hicho kitu nisingekijua!
 
Mkuu kila kitu kina taratibu kutokana na sheria zinasemaje, kwa Tanzania kwenye makutano ya reli na barabara kama hakuna kizuizi kwa magari

KWANINI hakuna kizuizi kwa magari?

NA KWANINI hakuna traffic guide anaelipwa na kampuni ya treni mida ambayo kuna schedule ya treni???

Sheria za mkoloni hizo, nasi tukazi-adopt kama zilivyo. Ujinga ujinga tu!

Train ni chombo cha moto, na inaendeshwa na binadamu. Why yenyewe isiweze kugonga?!! Upuuzi kabisa.

Slavery mindset.

Hata mkoloni mwenyewe kesha ziacha hizo sheria!

Dunia ya kwanza kwa mkoloni huko treni ikigonga ikaua treni inakuwa held responsible!
 
Hivi Mtu anaanzaje kuanzisha ligi kuhusu nini kisimame kati ya Treni na Gari?

Mambo mengine ni common sense tu, hivi dude linalokokota Mabehewa karibia ishirini tena ni mazito haswa litawezaje kusimama kwa ghafla, si hayo Mabehewa yote yatapandiana na kusambaa? hiyo injini inazuiaje Mabehewa yote hayo iwapo itasimama ghafla?

Athari ya Treni kusimama ghafla ni kubwa sana ndio maana hakuna Dreva wa Treni anayethubutu kufanya huo ujinga, anaweza kweli kuona Gari lipo njiani lakini wanachofanya ni kufunga macho na kupita nalo.

Wanachofanya Wenye Magari wengi ni kufanya hesabu vibaya, wengi hudhani kwamba wanaweza kuiwahi Treni.
Mkuu nasikia kuwa dereva wa gari anaweza kulikadilia treni lakini akifika kati lazima gari lizime,sasa sijui huwaga ni kitete cha dereva au kuna sayansi inakuwa applied apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mara ya pili nimemuuliza mtu mwingine yuko kwenye big insurance company, kasema Comp insurance hata ukiwa na makosa unalipwa. Kusema ukweli wewe ndio mtu wa kwanza namsikia akisema ukiwa na makosa hulipwi hata ukiwa na comp insurance.
Ni kweli Rrondo. Mwaka Jana 2019 nilipata ajali usiku Mbezi Beach DSM nikiwa na Mark X niliyoinsure Comp Ins. Ilikuwa kosa language na polisi report iliandikwa hivyo na ilikuwa sahihi. Bima walilipa kufix gari kwa mchina TZS 6,870,300 na gari nikarejeshewa baada ya siku 37. So nachosema Bima Kubwa inacover makosa hata kama yako. End
 
Humu tunafundishana.. kuna vitu najifunza kutoka kwa watoa hoja.. nami napenda kufundisha nayotajua ili wote tujifunze..

Kuna msemo unasema kutojua sheria hakukufutii kosa mahakamani kama umelifanya.. huwez kusema sikujua kama sheria inasema hivi naombeni mnisamehe sikujua
Mwaka Jana 2019 nilipata ajali usiku Mbezi Beach DSM nikiwa na Mark X niliyoinsure Comp Ins. Ilikuwa kosa language na polisi report iliandikwa hivyo na ilikuwa sahihi. Bima walilipa kufix gari kwa mchina TZS 6,870,300 na gari nikarejeshewa baada ya siku 37. So nachosema Bima Kubwa inacover makosa hata kama yako. End
 
Ni kweli Rrondo. Mwaka Jana 2019 nilipata ajali usiku Mbezi Beach DSM nikiwa na Mark X niliyoinsure Comp Ins. Ilikuwa kosa language na polisi report iliandikwa hivyo na ilikuwa sahihi. Bima walilipa kufix gari kwa mchina TZS 6,870,300 na gari nikarejeshewa baada ya siku 37. So nachosema Bima Kubwa inacover makosa hata kama yako. End
Huyo jamaa nimeamua nimuache.
 
Mimi najua vizuri hayo mambo sababu mzazi wangu mmoja ni mwalimu wa udereva NIT miaka mingi.. na pia hata police kitengo cha vehicle wanaotoa leseni yeye ndie anawafundisha sana pale NIT . So nimesoma sana vitabu vyake... na hata nikikaa nae napendaga kumdodosa nijue zaidi

Ndio maana napenda kutumia sheria kujibu hoja.. sababu nazisomaga somaga tu nijifunze

Pata muda wa kutafuta watu walioko kwenye industry wakuambie uhalisia.

Ila kama unadhani unachojua ndo hicho hicho hutakaa ujue vitu vipya.
 
Umeshawi kufuatalia madai yeyote insurance ukaona taratibu zao mpaka wakulipe zikoje?

Unajua bima kubwa inakulipa baada ya taratibu gani kukamilika?

Unajua kama bima ipo kisheria na inalipa kwa kufuata sheria..

Nenda kasome sheria ya bima za magari, kifungu namba 4 (1) na (2) cha motor vehicle insurance ordinance cap 169 ili uelewe vizuri kuhusu bima inaingiliana vipi na sheria ya usalama wa barabarani ya mwaka 1970 katika kulipa madai..

Maana naona wengi mnaendesha magari kwa leseni za kuletewa... mnajiita madereva bila kupita Veta wala NIT

Ukiona ajali ya uzembe imelipwa na bima ni sababu uchunguzi umedanganya kwenye ripoti baada ya kupokea rushwa.. yaani traffic aliyepima ajali kwenye ripoti yake adanganye na wachunguzi wengine uwape rushwa ili ripoti zao zidanganye.. hapo sheria inawalazimisha bima kukulipa sababu ya ripoti za uchunguzi zitakuwa upande wako mwenye gari.... kwa case kama hii ambayo imetokea katika makutano na reli hakuna ripoti itakayokubeba mwenye gari hata ukitoa rushwa.. sababu sheria ya usalama barabarani haikuruhusu kuvuka makutano ya reli bila kusimama.. kutazama kushoto na kulia.. na kutoa kipaumbele kwa garimoshi..

Kwa sheria zetu za Tanzania treni imepewa upendeleo mkubwa.. ndio maana tunasema trenu haigongi bali gari inagongwa treni.. sababu treni imepewa kipaumbele katika sheria ya usalama barabarani
Mkuu inaonekana wewe Ni mjuaji sana. Tuelezee basi utofauti wa kukata third party na comprihensive..hasa kwenye madai
 
Mimi najua vizuri hayo mambo sababu mzazi wangu mmoja ni mwalimu wa udereva NIT miaka mingi.. na pia hata police kitengo cha vehicle wanaotoa leseni yeye ndie anawafundisha sana pale NIT . So nimesoma sana vitabu vyake... na hata nikikaa nae napendaga kumdodosa nijue zaidi

Ndio maana napenda kutumia sheria kujibu hoja.. sababu nazisomaga somaga tu nijifunze
Kuwa na baba mwalimu haimaanishi kwamba utakua kila kitu..Kuna vyuo vingi Sana vya udereva zaidi ya hivyo unavyovijua
 
Back
Top Bottom