Kama una rafiki yako ametokea Moshi na Gari BMW white namba T223 DPU amepata ajali Mombo

Kwa mara ya pili nimemuuliza mtu mwingine yuko kwenye big insurance company, kasema Comp insurance hata ukiwa na makosa unalipwa. Kusema ukweli wewe ndio mtu wa kwanza namsikia akisema ukiwa na makosa hulipwi hata ukiwa na comp insurance.
hiyo wanalipa tu! utaambiwa breki ziligoma
 
Kwa mara ya pili nimemuuliza mtu mwingine yuko kwenye big insurance company, kasema Comp insurance hata ukiwa na makosa unalipwa. Kusema ukweli wewe ndio mtu wa kwanza namsikia akisema ukiwa na makosa hulipwi hata ukiwa na comp insurance.
Huyo jamaa amemezeshwa Hana analolijua.uulize if ameshawahi kata bima.
 
Kwa mara ya pili nimemuuliza mtu mwingine yuko kwenye big insurance company, kasema Comp insurance hata ukiwa na makosa unalipwa. Kusema ukweli wewe ndio mtu wa kwanza namsikia akisema ukiwa na makosa hulipwi hata ukiwa na comp insurance.
Comprehensive unalipwa hata kama kosa lilikuwa lako

Jr
 
gari bado mupyaa kabisa namba DPU...yani kama ni mkopo amefanya istallment 2 tu...gari ndo hivyo tena kushney..unapona majeraha halafu unakufa kwa pressure hapo...

naona mwana alikuwa anajaribu kusoma speed ya gari..mwishowe imemsoma yeye...
Atalipwa Kama anayo comprehensive insurance
 
Back
Top Bottom