Kama una rafiki yako ametokea Moshi na Gari BMW white namba T223 DPU amepata ajali Mombo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,794
Kama una rafiki yako ametokea Moshi na Gari BMW white namba T223 DPU

Majina
1. Mohammed Laseko(CRDB)
2. Dorine Mitimingi(CRDB)
3. Ainess

Walikuwa wanatokea kwenye Kili Marathon

Gari yao imegonga treni hapa Mombo, na gari imeharikiba sana. Vitu vyao vimepotea watakuwa hawapatikani kwa simu. Wamevunjika miguu, wamepelekwa hospital. Dereva yupo chini ya ulinzi.

Mwenye ndugu mfike Mombo polisi....

1.jpg
2.jpg
3.jpg


Jr
 
Train ikiwa kwenye njia yake ndio huwa inagongwa lakini ikitoka nje ya njia yake inakuwa ndio imegonga

Kwani gari haliko kwenye njia yake?

Kumbuka haya ni MAKUTANO ya reli na lami.

Nchi za watu treni haiwezi kuua halafu ikabaki salama kwa kigezo cha "ilikuwa kwenye njia yake."
 
Back
Top Bottom