Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Msaada kujibiwa wadaw...
1.Risks zake kubwa na muhimu kizijua ni zipi..?
2. Ni vitu gani vya kizingatia ili kuepoka loss.
3. Je kuna ubabaishaji wowote wakati wa kununua, kusafirisha na kuuza pale kiwandani..?
4. Mtaji wa milioni moja 1M ni mzuri kianzia..?
Kununua ndo changamoto lazima ujue mbuzi kaka!simama hapo nimejibu maswali yako yote
Nimeanza but napeleka Pugu kwanza mpk nijue mbuzi ntaenda Tanchoice it think two twice zijazo ntaanza peleka Kiwandani maana nimepata washakaji wanaopeleka Pale wako tayari kunisaidi kununua

First time nilikua mzinga mzuri sanaa tu!!tena nilipeleka Pugu...faida sikosi it is my fourth time hii Niko porini huku...

All in all shida sio kuuzaa biashara moja nzuro sanaaa kununua ukikutana na madalali washenzi utalia na kusaga meno!naongea nnachokijua maana Niko kwenye hyo field sikushauri kama hujawahi Fuga mbuzi uingie kichwa kichwa..Mimi Niko na watu wananifundisha wakisema nunua nanunua,usinunue sinunui hvyo yaaani!!
 
Nimefika kahama kijijini huku, mbuzi bei yake sio kubwa mpaka nimeshangaa...mbuzi wana bei ya kuku...25k, 30k,35k,40k kulingana na ukubwa...sasa nataka kuwapakia niwapeleke shamban kwangu Dar..
Je, vibali gani vinahitajika?
Naomba tuwasiliane if hutojali Niko Tanga nije huko j2 nakuja na leseni na vibali vyote tubebe mzigo Niko very serious naomba unijibu please!!
 
Kijiji gani?
Maana nilienda minadani wiki hii yote Bei mbaya hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vibali 2 cha kwanza kutoka kwa mtendaji wa hapo , atakupa kibali cha kuwatoa mbuzi kijijini, kisha utamwambia nakwenda nao dar yeye atakuelekeza pa kwenda kuchukua kibali ambacho hicho ndio kitakufanya usafili nao barabalani na kuweza kufika nao pugu, ukiwaambia napeleka mbuzi dar wao wanajua unashushia pugu, zingatia sana hivi vibali ucje ukaacha mbuzi njiani
 
Naomba tuwasiliane if hutojali Niko Tanga nije huko j2 nakuja na leseni na vibali vyote tubebe mzigo Niko very serious naomba unijibu please!!
Mi nimepita tu..kesho j5 kuna sehem wanaita kasingili nako pia wafugaji wameniambia kuna bei rahis, lakini wamesema inabid uwah mapema maana kuna walanguzi wananunua bei chin na kuuza bei juu
 
Hapo ndo shida wananunua na kuuza yaani tafrani tuupu ...ila kitaeleweka tu!
 
Kama hao wamiliki wa kiwanda ni wa China, narudia tena ni waChina mimi siwaamini hata kidogo maana hawa ni wahalifu sana hivyo nahisi kwa asilimia kubwa ninyi mnaowauzia mbuzi mnapigwa sana.Ki utaratibu ilitakiwa waweke utaratibu wa kila muuza mbuzi ashuhudie yeye mwenyewe au mtu aliyemteua uzito wa nyama tena kwenye mizani iliyo hakikiwa na watu wa vipimo (WMA).
TAN-CHOICE Wako tofauti yaani unashuhudia mwenyewe kwenye mzani na unaandika kile ambacho mzani umepima baadae utapiga hesabu na wa kwenye mzani. Yaani mbuzi wanashushwa kwenye gari wanahesabiwa zinachambuliwa alama ulizoweka baadae idadi inajazwa kwenye Slaughter Sheet pamoja na alama zake na hii sheet inajazwa na Lairage Supervisor . Na hizo slaughter sheet zinakuwa mbili au zaidi moja inakwenda kwa Supervisor wa eneo la machinjio na nyingine inakwenda kwenye Mzani. Huyu supplier mzigo wake unakuwa tayari kwa kuchinjwa anaambiwa aingie ndani kiwandani anakwenda kwenye mzani.
 
Hapo kweny kuchinjwa wkt mm cko nitajuaje wakti cpo waiz na wez wale tanchoice haiwezekan eti kilo Mia tano wat if Ni kilo 550 kilo hmzin wazile ..kaka ulipata hasar sana
TAN-CHOICE wana utaratibu unaomlinda supplier zaidi yaani Supplier anakuwa ndani kiwandani kwenye mzani wakati mbuzi wake wakiwa wanapita kupimwa na yeye yupo ng'ado kwa ng'ado hakuna janja janja. Hiyo ni reality kabisa bila kuambiwa.
 
Kununua ndo changamoto lazima ujue mbuzi kaka!simama hapo nimejibu maswali yako yote
Nimeanza but napeleka Pugu kwanza mpk nijue mbuzi ntaenda Tanchoice it think two twice zijazo ntaanza peleka Kiwandani maana nimepata washakaji wanaopeleka Pale wako tayari kunisaidi kununua

First time nilikua mzinga mzuri sanaa tu!!tena nilipeleka Pugu...faida sikosi it is my fourth time hii Niko porini huku...

All in all shida sio kuuzaa biashara moja nzuro sanaaa kununua ukikutana na madalali washenzi utalia na kusaga meno!naongea nnachokijua maana Niko kwenye hyo field sikushauri kama hujawahi Fuga mbuzi uingie kichwa kichwa..Mimi Niko na watu wananifundisha wakisema nunua nanunua,usinunue sinunui hvyo yaaani!!
Kaka vipi naomba tuwasiliane naweza pata mawili ma tatu toka kwako kama hutojali
 
Mkuu mambo vp. Nilikuwa na maduka ya rejareja mawili . Moja nikaliuwa kutokana na kuugua , na changamoto za Mmiliki wa fremu, by laws za ulinzi , kuharibu kwa mfanyakazi, nikawa nimetaka kubadili biashara na fremu nilikuwa nishapata ila mwenye fremu nilimpa idea yangu nini nataka nifanye hapo , siku ya kulipia kufika nikakuta kaiba plan yangu , nilipanik nikawa nimepeleka hela kwenye ujenzi ambao haukwenda mbali nikajishtukia nimedondokea kwenye hali ngumu sana kiuchumi depression inanitafuna afya inakaa vibaya duka lililobaki lina mtaji unaozunguka 6.7M ila lina mfanyakazi anafanya vizuri sana wateja wamemzoea na anajituma sana, kiasi kwamba nakuwa na mashaka ukimtoa lazima duka liyumbe kwanza kutokana na kuzoeleka kwake na uwezo wake kwenye competition, sasa nipo tu sina ishu yoyote nikitegemea tena duka kuishi hilo moja jambo nisilolipenda natamani kuajiriwa angalau faida ninayozalisha dukani ikae benki nije nifungue biashara nyingine na sio mimi kuitumia
Na pia sijazoea kukaa free nimepona sasa natamani kazi yoyote ile itakayonipa kula na matumizi mengine, nakusave hata kidogo ili niweze kurudi kwenye hali yangu kiuchumi nahitaji nitoke dar mwenye nafasi yoyote ya kazi mimi ni mpambanaji huwa sijali ndio maana siwezi kukaa bila kazi . Naugua nikikaa hivi 0757257810
 
Kisaikolojia bado kupons mkuu. Hebu tulizana, nahisi kama na hilo duka la 6.7m unataka kuliua ikiwa lipo kweli kweli. Vinginevyo ni majanga.
 
Ndio nakosa utulivu bila kazi ya ziada kwanza afya yangu sijazoea kabisa kukaa bila majukumu , nimeanza kupata msongo wa mawazo, nahitaji tu kutoka dar nipate kazi hata mashambani nikajitulize huko kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom