Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Umeandika vizuri na umeeleweka ukiona mtu anauliza swali huyo Hana nia na hawezi mikiki mikiki ya hyo kazi sababu umeandika vitu muhimu na umenyoosha.

Binafsi nishafanya Ila ilkua n nguruwe mnadani unatakiwa uwe mjanja na mshapu Ila door to door n nzuri muhimu uwe unajua kwa macho kuwa huyu ukimuangalia hakosi KG kadhaa hvyo unakata hata 7kg ndo unaongea Bei na mnunuzi.

Changamoto ya Door to door unatakiwa ujue kuishi na watu ukikuta watu wanakula ugali wa mdama na dagaa wa kuchemsha unga usilete swaga, Kuna muda inabidi ulale hukohuko bush kwa wenyeji Kama n kulala chini lala Kama n kwenye ngozi lala faida yake utakuja kuiona baadae.

Ukiingia Kijiji unakutana na mjanja wao Sasa wewe kuwa mjanja zaidi yake wengi wanaongea kilugha hvyo jifunze kujua maneno muhimu kwenye Biashara yako katika sehemu unayokwenda kutafuta mifugo.

Jifunze kumsoma mtu usoni pindi mnaposalimiana tuu au akiongea maneno matatu hii itakusaidia kupata kwabei nafuu.

Vijana tupambane usisubiri mpaka ufike 1million ndo uanze Anza na hicho hicho ulichonacho Kama una Nia inakutoa bila shida hata Kama n laki moja we Anza na pale inapowezekana.
Mkuu... Sasa kwa kijana kama mimi nitaanzaje na kamtaji kenyewe laki tatu... Kuna kutoka hapo kwel au
 
Hakuna kitu hapo. Watakuwa wanawapiga watu Sana
Yaani wewe jamaa pointless kabisa. Hivi unapofanya biashara unaangalia faida unayopata au kama unapigwa? Kama unapata faida ya nini kujiumiza na mengine si ufungue kiwanda chako. Haya unasema wanawapiga kwenye kilo unajua huku Oman wanaenda kuuza kilo moja bei gani? Unaweza kukuta hata ni mara sita ya uliyowauzia wewe. Mimi mpaka umenipa hasira. Binadamu aa hovyo sana kukatisha watu tamaa
 
Fala Sana wewe. Umeongea kama vile wewe ni wale fai waka mnaofanya Kazi hapo kiwanda.

Kama biashara inaweza kukupa Faida ya 10k alafu wewe ukawa unapata 3k ukaona poa kisa unapata Faida nasi wewe utakuwa mjinga wa mwisho.

Anyway nisamaraizi kwa kusema nimadamu tumatofautiana.binafsi huwa naangalia gaida na mfa niliotumia pamoja na kapital niliyoweka.

Kwa mfano niweke eti niwe na mtaji wa mbuzi 60 alafu gaida yake iwe 360k kwa mda wa wiki mbili hata kwa wiki sifanyi.

Kama nilivyosema tunatogautiana kimtazamo na mipango. Bila kusahau uwezo pia.

Siku nyingine uwe na adabu huwezi jua nani atakupa fursa.

Na kukuthibitishia ninacho kuambia kuna biashara nimeamua kutuma M7 Kati ya hizo M7; 1.3M ni tiketi ya ndege; 500k kula na kulala lakini Faida yake ambayo iko projected ni 6M. Nitaleta ushuhuda suni
 
Elezea
 
Subiri mrejesho kijana
 
Nyie watu mnaoishi kwa mashemej zenu bana , tabu tupu , hapo hujawa uza hata pipi
 
Kumbe na wewe umemuona? huyo jamaa amenifurahisha sana
Ni kama wale husoma biashara kwenye vitabu wanakuwa na nadharia zao vichwani
 
Na kukuthibitishia ninacho kuambia kuna biashara nimeamua kutuma M7 Kati ya hizo M7; 1.3M ni tiketi ya ndege; 500k kula na kulala lakini Faida yake ambayo iko projected ni 6M. Nitaleta ushuhuda suni

Elezea
Ukute ni Q-NET anaongelea
 
Fala Sana wewe. Umeongea kama vile wewe ni wale fai waka mnaofanya Kazi hapo kiwanda.

Kama biashara inaweza kukupa Faida ya 10k alafu wewe ukawa unapata 3k ukaona poa kisa unapata Faida nasi wewe utakuwa mjinga wa mwisho.

Anyway nisamaraizi kwa kusema nimadamu tumatofautiana.binafsi huwa naangalia gaida na mfa niliotumia pamoja na kapital niliyoweka.

Kwa mfano niweke eti niwe na mtaji wa mbuzi 60 alafu gaida yake iwe 360k kwa mda wa wiki mbili hata kwa wiki sifanyi.

Kama nilivyosema tunatogautiana kimtazamo na mipango. Bila kusahau uwezo pia.

Siku nyingine uwe na adabu huwezi jua nani atakupa fursa.

Na kukuthibitishia ninacho kuambia kuna biashara nimeamua kutuma M7 Kati ya hizo M7; 1.3M ni tiketi ya ndege; 500k kula na kulala lakini Faida yake ambayo iko projected ni 6M. Nitaleta ushuhuda suni
Biashara gani uwekeze Millioni 7 ikuletee faida Millioni 6?
Najaribu kuwaza hiyo biashara bado siipati labda wana Ndugu zangu humu mnisaidie..........

Faida ya 85% kweli? Tena umesema laki 5 ni nauli ya ndege ina maana hiyo bidhaa unayokwenda kununua huko ni chini ya Millioni 6
Sasa sijui ni bidhaa au huduma au ninj sijajua

Ukasema kuna gharama za kulala na kula.....
Em tufungue na sisi utupe Mwanga kama alivyofanya OP wa huu Uzi. Nasi tukafanye hiyo business tunufaike sote

Tuambie hiyo ni biashara gani kiongozi
 
Asante sana ndugu yangu. Mungu atubariki sote
Mkuu Heshima kwako! Je unaonaje wazo langu la kutaka kwenda Kondoa au nearby place karibu na Dodoma, nikatafuta eneo nikaweka kibanda na kijana na kuanza kufuga mbuzi ili wakikua nipeleke huko kiwandani?
 
Fala Sana wewe. Umeongea kama vile wewe ni wale fai waka mnaofanya Kazi hapo kiwanda.

Kama biashara inaweza kukupa Faida ya 10k alafu wewe ukawa unapata 3k ukaona poa kisa unapata Faida nasi wewe utakuwa mjinga wa mwisho.

Anyway nisamaraizi kwa kusema nimadamu tumatofautiana.binafsi huwa naangalia gaida na mfa niliotumia pamoja na kapital niliyoweka.

Kwa mfano niweke eti niwe na mtaji wa mbuzi 60 alafu gaida yake iwe 360k kwa mda wa wiki mbili hata kwa wiki sifanyi.

Kama nilivyosema tunatogautiana kimtazamo na mipango. Bila kusahau uwezo pia.

Siku nyingine uwe na adabu huwezi jua nani atakupa fursa.

Na kukuthibitishia ninacho kuambia kuna biashara nimeamua kutuma M7 Kati ya hizo M7; 1.3M ni tiketi ya ndege; 500k kula na kulala lakini Faida yake ambayo iko projected ni 6M. Nitaleta ushuhuda suni
Ushuhuda "SUNI"
 
Mkuu Heshima kwako! Je unaonaje wazo langu la kutaka kwenda Kondoa au nearby place karibu na Dodoma, nikatafuta eneo nikaweka kibanda na kijana na kuanza kufuga mbuzi ili wakikua nipeleke huko kiwandani?

Kama tungekuwa na WaTanzania 80% wanaowaza kama wewe tungekuwa mbali sana. Wazo lako ni very mature na very commercial. Mwenyewe hii ni fursa ambayo nimefanya japo nilivyotoka nchini nimeistisha kidogo. Ukijenga banda na ukawa unaenda mnadani unanunua vimbuzi vya size ya kati kwa bei ya 30elfu hadi chini ya hiyo, kisha ukavilisha na kuviboost kwa mda wa miezi michache sana tuseme miezi 3/4, nakwambia unapiga faida bila hata kupeleka kiwandani. Unauza kwa wanaopeleka kiwandani au wachinjaji wa kawaida na unapiga bonge la faida. Utanicheki inbox kama una interest ya hili wazo ili nikupe ufafanuzi zaidi namna ya kuwalisha na kuwaboost mbuzi au mifugo yoyote na kuwauza kwa faida ndani ya mda mfupi tu.

Kaka dunia ya sasa ni practical, inahitaji watu wanaofikiria sana (instrumental rationalists) na wanaofanya vitu halisia siyo hao wanaokuja na stori za mtaji wa 6M unapata faida ya 6M....stupidity.

Kwa jinsi navyokutazama wewe mafanikio yapo mbele yako, Mungu akuongoze tu.
 
Hakunaga mfanyabiashara aliye fair..yaani apime yeye alaf akuambia kilo zako bila kukuibia..labda kama kiwanda kinamilikiwa na kanisa
 
Back
Top Bottom