Kama una mpango wa kubadilsha simu pitia hapa

EngineOil

Member
Sep 29, 2019
16
20
Kuna wateja wa aina mbali mbali wa smartphone.

Kuna wale walioibiwa simu. Kuna wale wanaotumia laini nyingi. Kuna wale ambao simu haikai na chaji. Kuna wale ambao simu yao ina ''stuck''. Na kuna ambao wanataka simu mpya kwasababu wamechoka wanaoitumia.

Lengo la hii post ni kukupa muongozo kama unataka kununua simu nyingine. (Na hujui pa kuanzia) au labda unajua sema ungependa kujua mambo mengine mengi zaidi.

Kwanini unisikilize?
Naitwa Brandon. Nimefanya kazi kwenye hii industry ya simu kwa zaidi ya miaka mitano. Nimeuza simu za kila aina. Niko hapa kukusaidia wewe kama una mpango wa kununua simu nyingine. Uzoefu wangu mkubwa ni kwenye soko la Dar. Sina uzoefu wa kuuza simu mikoani.

Ili kuelewa jinsi ya kununua simu Dar, bila ya kupigwa bei za ajabu. Inabidi uelewe jinsi soko la Dar lilivyo.

Soko kubwa la simu liko Kariakoo. Kuna maduka makubwa, maduka saizi ya kati na ''vikabati''

Lakini pia kuna wauzaji wa smartphone Posta, Mlimani city, Mwenge, Makumbusho, Manzese, Mbagala na sehemu nyingine.

Kariakoo ndio baba lao.

Kariakoo ndio soko linalolisha asimilia 80% ya wauzaji wa simu Tanzania.

Kuna brand 10 za Smartphone hapa Tanzania. Tecno, Samsung, Infinix, vivo, oppo, redmi, huawei, olla, Apple na itel.

Kuna simu zinazoitwa Flagship, Mid range, na Budget phones. Kwa maana nyingine kuna simu za bei ya juu(1+million) bei ya kati(laki tatu mpaka laki nane) na bei ya chini(laki mbili na kushuka chini)

Wateja wengi waangukia kwenye Mid Range. Kwasababu wengi ni wafanyakazi wa serikali, wajasiriamali wadogo, wanasheria, ''content creators'' engineers, wanafunzi wa chuo waliopewa hela na baba n.k

Sifa za simu nyingi ni zile zile. Wateja wengi waangalia:
-Uwezo wa Betri
-Storage capacity (ram na rom)
-Saizi ya kioo
-Saizi ya mwili wa simu
-Uzito wa simu
-Network(3G au 4G)
-Fingerprint
-Uwezo wa Camera
-Rangi ya simu
-Kama Earphones zinatolewa
-Kama simu inaweza kuweka laini mbili au moja
-Bei

Kinachotofautisha kampuni moja na nyingine ni matangazo. ''Features'' za simu ni zile zile.

Tecno, Infinix, na Samsung ndio kampuni zinazongoza kwa umaarufu hapa Dar na Tanzania. Lakini kuna kampuni kama vivo, oppo, redmi ambao wana simu zenye VIWANGO vya kimataifa lakini umaarufu mdogo.

Kwahiyo unakuta mteja ananunua simu kwasababu kuna rafiki yake, baba au mama anatumia. Sio kwasababu simu ina viwango vinavyokidhi mahitaji yake. Lakini kwasababu kuna mtu kwenye maisha yake anaitumia. Pointi ni nini?

Kabla ya kununua simu angalia matumizi yako ya simu. Mimi mwenzako natumia simu kutuma meseji, google, kuangalia video, kupiga picha, kupiga simu, kuandika notes, kutuma email n.k.

Kwahiyo nahitaji simu yenye betri kubwa (5000mAh na kuendelea) na Camera nzuri inayotoa picha zenye mvuto na bei iwe ndani ya kipati changu.

Natumia simu gani?
vivo Y11. Betri yake ni 5000mAh, ina camera moja mbele na mbili nyuma. Na bei yake naweza nikaimudu. (350,000 mpaka 325,000 mwisho)

Nilijuaje kwamba ni simu nzuri? Muuzaji aliyeniuzia ''alinionyesha'' jinsi inavyonana kwa ndani ukilinganisha na simu nyingine. Kabla ya kununua hii simu nilikuwa nataka Infinix Hot 8(ile ya 4G). Lakini alivyonionyesha Camera yake, uwezo wa betri na feature nyingine za ndani nikaamua niijaribu.

Ningeweza kununua simu nyingine yoyote ile.

Lakini huyu muuzaji ndiye aliyenidaka wa kwanza.

Hii simu ina uwezo wa kupiga picha kama unampungia mtu mkono aliyeko mbali, ina sensa za masikio, kwa maana nyingine ina uwezo wa kupokea simu kwa kuiweka kwenye sikio lako tu, betri yake inakaa siku moja na ushee hata kama nimewasha data, ina fingerprint, face unlock, na kioo chake kinatoa mwanga kama wa kwenye TV.

Umaarufu wa hii kampuni ya vivo? Ni mdogo. Hii kampuni inajulikana kama unasafiri kwenda nje ya nchi. Lakini kwa hapa Tanzania bado. Lakini hii simu ninayotumia ni nzuri kuliko. Inakidhi mahitaji yangu yote.

Mimi siwezi nikajua una mahitaji gani. Na siwezi nikajua bajeti yako ni shilingi ngapi. Lakini ninachojua ni kwamba ukitaka kuijua simu itumie. Au mwombe mtu akuonyeshe wakati AKILINGANISHA na simu nyingine.

Bei za simu kwenye maduka mengi ni zile zile. Wauzaji wengi wanaanza na bei ya juu na kushuka chini. Bei mara nyingi ni maelewano. Lakini ukiona muuzaji anakataa kukuuzia simu ni kwasababu bei uliyomatajia haimpi faida. Kwahiyo kama unataka simu toka nyumbani ukiwa na angalau laki nne.

Simu ziko nyingi. Umaarufu wa simu haimanishi kwamba hiyo simu ni nzuri. Kitu cha muhimu ni mahitaji yako, bajeti yako, na jinsi simu inavyofanana kwa ndani ukilanganisha na simu nyingine.

Mimi natumia vivo. Kama unataka kujua jinsi ya kuzipata nitafute kupitia namba 0710888996.

Sifa za hizi simu ni camera yake, uwezo wa betri, na vikolombwezo vingine ambavyo mpaka ''uonyeshwe''

Kuna model 5.

Y11(350,000 mpaka 325,000 mwisho)
Y91C(255,000 mpaka 242,000 mwisho)
Y12((380,000 mpaka 375,000 mwisho)
Y15((470,000 mpaka 455,000 mwisho)
Y19(580,000 mpaka 555,000 mwisho)
V17pro (1,100,000 mpaka 1,050,000 mwisho)

vivo_tanzania_20200427_195918_0.jpg
vivo_nigeria_20200422_215317_0.jpg
vivo_egypt_20200426_065031_0.jpg
vivo_nigeria_20200421_181533_0.jpg
kariakoo__online_20200421_175816_0.jpg
kariakoo__online_20200421_175816_1.jpg
vivo_nigeria_20200421_182959_0.jpg
vivo_tanzania_20200421_174506_0.jpg
vivo_nigeria_20200421_180445_0.jpg
vivo_tanzania_20200421_173443_0.jpg
IMG_20200414_165043.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa mkuu unadhani kama nyinyi wafanya biashara mmeamua kwa makusudi kabisa kutuuzia utumbo,wateja wenu ambao hatujui kitu nje ya box tunachomokaje!!!!

hakuna kitu kinanikera unaenda kkoo unakuta kikabati,mtu kajaza ma tecno na infinix akibadili basi ni itel.kuna watu kwa hulka,haiba au mapenzi yao ni kuwa tofauti na washkaji majirani au ndugu wa karibu,anataka kitu tofauti.

kkoo nzima imejaa mabango ya infinix na tecno,unajiuliza why this!!!kwani hakuna kampuni nyingine watu wazitafute wajue zina nini???

wengine wanajikaza wanaleta MI,vile akiona wabongo tunaangalia ram na rom,basi kwake ni bingo.maana kwa bongo simu ikiishafika ram 3gb bila kujali brand tegemea bei ni kuanzia laki 450 kwenda juu.

kuna haja ya kubadirika jamani,yaani inafikia hatua ukikuta mtu ana simu nzuri ukamuuliza,utasikia hii nimeagiza

good move mkuu nina imani umeanza wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"""Wateja wengi waangukia kwenye Mid Range. Kwasababu wengi ni wafanyakazi wa serikali, wajasiriamali wadogo, wanasheria, ''content creators'' engineers, wanafunzi wa chuo waliopewa hela na baba n.k """

USHAANZA DHARAU NA WATUMISHI WA UMMA!! hadi wanasheria unawaita MID RANGE!!???
 
Yaani umepoteza muda wako wote kukasirika juu ya maneno yalioyoandikwa kwenye mtandao wa kijamii? Matatizo yako hayaishii hapo.Unaweza ukaacha kusoma. Huu ujumbe sio kwa ajili ya kila mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi j3 hii nimenunua Infinix hot 8 laki 3 ipo vizuri sana... Nimenunua pale duka la tigo manzese kitu OG sio kariakoo zimejaa feki kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kkoo feki kibao. Na imeandikwa kila mtu afanye maamuzi yake ya kimaisha. Lakini kama unajua pa kwenda unajifunza kwamba simu original ziko sehemu nyingi tu. Mpaka uonyeshwe pa kwenda lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wateja wa aina mbali mbali wa smartphone.

Kuna wale walioibiwa simu. Kuna wale wanaotumia laini nyingi. Kuna wale ambao simu haikai na chaji. Kuna wale ambao simu yao ina ''stuck''. Na kuna ambao wanataka simu mpya kwasababu wamechoka wanaoitumia.

Lengo la hii post ni kukupa muongozo kama unataka kununua simu nyingine. (Na hujui pa kuanzia) au labda unajua sema ungependa kujua mambo mengine mengi zaidi.

Kwanini unisikilize?
Naitwa Brandon. Nimefanya kazi kwenye hii industry ya simu kwa zaidi ya miaka mitano. Nimeuza simu za kila aina. Niko hapa kukusaidia wewe kama una mpango wa kununua simu nyingine. Uzoefu wangu mkubwa ni kwenye soko la Dar. Sina uzoefu wa kuuza simu mikoani.

Ili kuelewa jinsi ya kununua simu Dar, bila ya kupigwa bei za ajabu. Inabidi uelewe jinsi soko la Dar lilivyo.

Soko kubwa la simu liko Kariakoo. Kuna maduka makubwa, maduka saizi ya kati na ''vikabati''

Lakini pia kuna wauzaji wa smartphone Posta, Mlimani city, Mwenge, Makumbusho, Manzese, Mbagala na sehemu nyingine.

Kariakoo ndio baba lao.

Kariakoo ndio soko linalolisha asimilia 80% ya wauzaji wa simu Tanzania.

Kuna brand 10 za Smartphone hapa Tanzania. Tecno, Samsung, Infinix, vivo, oppo, redmi, huawei, olla, Apple na itel.

Kuna simu zinazoitwa Flagship, Mid range, na Budget phones. Kwa maana nyingine kuna simu za bei ya juu(1+million) bei ya kati(laki tatu mpaka laki nane) na bei ya chini(laki mbili na kushuka chini)

Wateja wengi waangukia kwenye Mid Range. Kwasababu wengi ni wafanyakazi wa serikali, wajasiriamali wadogo, wanasheria, ''content creators'' engineers, wanafunzi wa chuo waliopewa hela na baba n.k

Sifa za simu nyingi ni zile zile. Wateja wengi waangalia:
-Uwezo wa Betri
-Storage capacity (ram na rom)
-Saizi ya kioo
-Saizi ya mwili wa simu
-Uzito wa simu
-Network(3G au 4G)
-Fingerprint
-Uwezo wa Camera
-Rangi ya simu
-Kama Earphones zinatolewa
-Kama simu inaweza kuweka laini mbili au moja
-Bei

Kinachotofautisha kampuni moja na nyingine ni matangazo. ''Features'' za simu ni zile zile.

Tecno, Infinix, na Samsung ndio kampuni zinazongoza kwa umaarufu hapa Dar na Tanzania. Lakini kuna kampuni kama vivo, oppo, redmi ambao wana simu zenye VIWANGO vya kimataifa lakini umaarufu mdogo.

Kwahiyo unakuta mteja ananunua simu kwasababu kuna rafiki yake, baba au mama anatumia. Sio kwasababu simu ina viwango vinavyokidhi mahitaji yake. Lakini kwasababu kuna mtu kwenye maisha yake anaitumia. Pointi ni nini?

Kabla ya kununua simu angalia matumizi yako ya simu. Mimi mwenzako natumia simu kutuma meseji, google, kuangalia video, kupiga picha, kupiga simu, kuandika notes, kutuma email n.k.

Kwahiyo nahitaji simu yenye betri kubwa (5000mAh na kuendelea) na Camera nzuri inayotoa picha zenye mvuto na bei iwe ndani ya kipati changu.

Natumia simu gani?
vivo Y11. Betri yake ni 5000mAh, ina camera moja mbele na mbili nyuma. Na bei yake naweza nikaimudu. (350,000 mpaka 325,000 mwisho)

Nilijuaje kwamba ni simu nzuri? Muuzaji aliyeniuzia ''alinionyesha'' jinsi inavyonana kwa ndani ukilinganisha na simu nyingine. Kabla ya kununua hii simu nilikuwa nataka Infinix Hot 8(ile ya 4G). Lakini alivyonionyesha Camera yake, uwezo wa betri na feature nyingine za ndani nikaamua niijaribu.

Ningeweza kununua simu nyingine yoyote ile.

Lakini huyu muuzaji ndiye aliyenidaka wa kwanza.

Hii simu ina uwezo wa kupiga picha kama unampungia mtu mkono aliyeko mbali, ina sensa za masikio, kwa maana nyingine ina uwezo wa kupokea simu kwa kuiweka kwenye sikio lako tu, betri yake inakaa siku moja na ushee hata kama nimewasha data, ina fingerprint, face unlock, na kioo chake kinatoa mwanga kama wa kwenye TV.

Umaarufu wa hii kampuni ya vivo? Ni mdogo. Hii kampuni inajulikana kama unasafiri kwenda nje ya nchi. Lakini kwa hapa Tanzania bado. Lakini hii simu ninayotumia ni nzuri kuliko. Inakidhi mahitaji yangu yote.

Mimi siwezi nikajua una mahitaji gani. Na siwezi nikajua bajeti yako ni shilingi ngapi. Lakini ninachojua ni kwamba ukitaka kuijua simu itumie. Au mwombe mtu akuonyeshe wakati AKILINGANISHA na simu nyingine.

Bei za simu kwenye maduka mengi ni zile zile. Wauzaji wengi wanaanza na bei ya juu na kushuka chini. Bei mara nyingi ni maelewano. Lakini ukiona muuzaji anakataa kukuuzia simu ni kwasababu bei uliyomatajia haimpi faida. Kwahiyo kama unataka simu toka nyumbani ukiwa na angalau laki nne.

Simu ziko nyingi. Umaarufu wa simu haimanishi kwamba hiyo simu ni nzuri. Kitu cha muhimu ni mahitaji yako, bajeti yako, na jinsi simu inavyofanana kwa ndani ukilanganisha na simu nyingine.

Mimi natumia vivo. Kama unataka kujua jinsi ya kuzipata nitafute kupitia namba 0710888996.

Sifa za hizi simu ni camera yake, uwezo wa betri, na vikolombwezo vingine ambavyo mpaka ''uonyeshwe''

Kuna model 5.

Y11(350,000 mpaka 325,000 mwisho)
Y91C(255,000 mpaka 242,000 mwisho)
Y12((380,000 mpaka 375,000 mwisho)
Y15((470,000 mpaka 455,000 mwisho)
Y19(580,000 mpaka 555,000 mwisho)
V17pro (1,100,000 mpaka 1,050,000 mwisho)

View attachment 1433074View attachment 1433075View attachment 1433076View attachment 1433077View attachment 1433078View attachment 1433079View attachment 1433080View attachment 1433082View attachment 1433083View attachment 1433084View attachment 1433087

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba sifa za Oppo tafadhali
 
sasa mkuu unadhani kama nyinyi wafanya biashara mmeamua kwa makusudi kabisa kutuuzia utumbo,wateja wenu ambao hatujui kitu nje ya box tunachomokaje!!!!

hakuna kitu kinanikera unaenda kkoo unakuta kikabati,mtu kajaza ma tecno na infinix akibadili basi ni itel.kuna watu kwa hulka,haiba au mapenzi yao ni kuwa tofauti na washkaji majirani au ndugu wa karibu,anataka kitu tofauti.

kkoo nzima imejaa mabango ya infinix na tecno,unajiuliza why this!!!kwani hakuna kampuni nyingine watu wazitafute wajue zina nini???

wengine wanajikaza wanaleta MI,vile akiona wabongo tunaangalia ram na rom,basi kwake ni bingo.maana kwa bongo simu ikiishafika ram 3gb bila kujali brand tegemea bei ni kuanzia laki 450 kwenda juu.

kuna haja ya kubadirika jamani,yaani inafikia hatua ukikuta mtu ana simu nzuri ukamuuliza,utasikia hii nimeagiza

good move mkuu nina imani umeanza wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unacholalamikia ni sawa na kusema kwann miradi mingi tz inadakwa na wachina, kwa ufupi ndio wanaojitokeza kuomba hizo kazi.
 
Back
Top Bottom