Kama una mke mwenye sifa hizi basi una bahati

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
1. Anajua kupika chakula vizuri.

2. Anajua kula vizuri na kuuweka mwili wake katika afya nzuri sio anakua bonge hadi anashindwa kutembea na mwili wake mwenyewe.

3. Anajua kuvaa vizuri na kujiweka katika hali ya usafi yeye na mazingira yanayo mzunguka, hapa sizungumzii urembo.

4. Anajua kuongea vizuri na watu na si mwepesi wa hasira.

5. Anajua kusoma na kuandika kiswahili na kingereza.

6. Anampenda Mungu.

7. Ongezea sifa nzuri ya mkeo ambayo haijatajwa hapa.
 
Awe anajua kukatikia dyudyu
106f345d391dc8877e1b43c0ba99fbae.jpg
 
1. Anajua kupika chakula vizuri
2. Anajua kula vizuri na kuuweka mwili wake ktk afya nzuri sio anakua bonge hadi anashindwa kutembea na mwili wake mwenyewe.
3. Anajua kuvaa vizuri na kujiweka ktk hali ya usafi yeye na mazingira yanayo mzunguka , hapa sizungumzii urembo.
4. Anajua kuongea vizuri na watu na si mwepesi was hasira.
5. Anajua kusoma na kuandika kiswahili na kingereza .
6. Anampenda Mungu
7. Ongezea sifa nzuri ya mkeo ambayo haijatajwa hapa.

Umeanza vizuri lakini umekosea mwishoni.
Bora awe anajiheshimu kwanza, akuheshimu na wewe, ajue kuitunza familia na asiwe wa kuharibu nguvu zako(namaanisha unapotafuta aweze kuwa mshauli wa maana kwa matumizi ya kile unachoata) Sasa ndugu yangu kama anajua kiingereza wewe hujui hata salam, usiku akianza kutongzana na makaka zake wale wa Kariakoo huku unasikiliza weeeee lakini huelewi! Itakusaidia nini! Yaani hata kama hajasoma lakin ilimradi anajitambua, huyo tosha. Ujue wapo tena wenye uwezo wao lakini bora hao wasaidizi wa kazi wanakuwa bora zaidi(heshima lakini, sijasema kingine)
 
haaaaaaa, lengo la no 5 in ili aweze kuwasaidia watoto japo siyo kigezo sana, hapa nimegundua kuwa wanaume wanaoa wasio jua ngeli ili wawafiche baadhi ya mambo
 
Similar Discussions

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom