Kama una mke au demu kibarua viwandani umeumia

Miaka ya nyuma kidogo niliwa pata tenda kwenye hoteli moja kubwa Dar, tenda ya kurekebisha lock za milango inayotumia card kufungua, kuna nyakati ilibidi kufanya kazi usiku kucha ili kuokoa muda kutokana na ukubwa wa kazi, niliyoyaona huko wakati wa usiku mkubwa na balaa, wafanyakazi wa shift ya usiku kuna mida inakuwa hakuna kazi kabisa sasa hapo ni kutiana tu, haijalishi mke wa mtu au mume wa mtu yani ni balaaa.
 
Mnajipa shida tu.....uzuri tunaowala ni sisi jitahidi ule variety nyingi unavyoweza.
 
Kizuri kula na mwenzio,amini kuwa ile kitu hainaga makombo coz ikitumiwa inasafishwa kama sahani ya mamalishe nawe ukija unatumia tu na maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom