The Iron
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 1,393
- 1,453
Naona mambo yameshakunyookea tayar, sasa ni muda wakutukana walio chini yako1. Hela ya vocha, kunyoa na kumpa demu wako bado unategemea upewe na baba au shemeji
2. Kula yako ni ya shikamoo baba au shemeji unasubiri msosi wa kengele
3. Huna mpango wa kupanga wala kujitegemea kwa kisingizio huna ajira
4. Ukiamka asubuhi break yako ya kwanza kijiweni kuzungumza habari za siasa au mpira mchana unarudi nyumbani unakula chakula cha kengele jioni unarudi tena kijiweni kwa washikaji unarudi nyumbani msosi wa kengele
5. Kurudi nyumbani unapangiwa muda wa kurudi ukichelewa zaidi unachapwa bakora au fimbo na baba na umri huoo
Haya aendeleeni wana JF DALILI ZINGINE