Kama una mgahawa, Hotel, Restaurant au Cafe....Mwanza au Dar niite nikupikie

Shenazi

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
204
128
Kama kuna mtu anahitaji mdada kwa ajili ya kupika katika mgahawa, hotel, Restaurant au cafe nitafute.

Napika chakula kitamu na chenye taste nzuri.
Uwe Mwanza au Dar.
 
Back
Top Bottom