Kama una gari hizi mark II gx 100, Chaser ,cresta,corolla 100,111

Gari ya milion 3 itakusumbua wewe Hadi uchanganyikiwe.
Tafuta gari kuanzia milion 6 na kuendelea pia kama hauna uzoefu wa Magari utapata shida sana
 
Kwenye comment Yangu sijaonesha upotoshaji Bali nimekuambia kama hauna uzoefu wa Magari usinunue gari za milion 3,Kwa uzoefu wangu mdogo najua wabongo wengi sio waaminifu hasa ukiuziwa gari la bei za chini.
Ushauri kama huu wanapewa watu ambao wanaanza kununua gari. Ni kweli kwa mtu ambaye ni Mara yake ya kwanza kununua gari ni bora akaenda Showroom au kuiagiza Japan. But kwa sisi wahenga huwa tunanunua hata gari zilizo juu ya mawe kabisa . Halafu kesho gari hiyo utaiona inatembea barabarani.
 
Alijuaje kwamba wewe unauzoefu tiyari?
 
Kama una hizo gari . offer yangu ni 3.2M ,ziweka hapa au njoo Pm.
Nauza gari Cresta Gx 100 kwa milioni 2.5 lipo katika hali nzuri mno nauza kwakuwa ninashida. Huez pata kirahisi gari kwa bei ya pikipiki, nakuruhusu uje na fundi wako unaemwamini tuweke mafuta tupige misele siku nzima tukila mziki mkubwa, utasibitisha gari ni zur halina shida yeyote. shida n mm tu nina shida na hela...

nicheki whatsp kwa more info 0756086125. au nipigie.
 
OK
 
Back
Top Bottom