Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

Sio kweli mkuu. Mbona Mengi alizaa akiwa mzee. Hakuna formula yoyote ya maisha. Ishi uwezavyo.
Mkuu point ni kuanza kuzaa na si kumaliza kuzaa.

Pia watoto wa uzeeni hawawezi kupata malezi yako sawasawa.

Na kwa Rip Mengi ni umetoa mfano mzuri.
 
Kuchelewa kuoa na kuzaa maana yake hutalea watoto wako na kuna uwezekano ukafa bila waona wakiwa wakubwa
 
Hata usipomfariji kuwa ni joke mkuu ndivyo ilivyo siku zetu za kuishi duniani ni chache :mad: :mad:
Mnatuzingua bwana, nikizaliwa Mzee wangu alikuwa 44yo, nimeshakuwa kidume na my dad is still kicking. Hakika kufa utakufa, lakini haijulikani lini...
 
Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia jaribu kujichunguza.

Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
Shida wanaume tuko very selective Sana .hebu jaribu kukomaa na vuta bangi lako limoja lirekebishe mpaka tabia ziendane
 
Hahahaha yaani naona siku hizi mambo yamekuwa 'mfurughano' tu tumegawanyika kila mtu yupo kwenye uzi wake hadi hatuonani
Mi pia nimekumisi zaidi, yani nilishangaa 4 days sijaona hata trace yako mama...Njoo chemba basi tuzoze
 
Hahahaha yaani naona siku hizi mambo yamekuwa 'mfurughano' tu tumegawanyika kila mtu yupo kwenye uzi wake hadi hatuonani
😄😄😄😄😄 we umeamua tu tusionane maana tuko mtaa mmoja nyumba tofauti.
 
Back
Top Bottom