Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

Equation x, Acha kukariri maisha kijana local mentality kuowa wengine c kipaumbele alafu usiisi kuowa au kuolewa ni jambo LA umuhimu kwenye hii dunia
 
Ilitakiwa nyuzi kama hizi kila zinapoanzishwa zizae ndoa moja.
Mfano huu uzi utoe ndoa moja. Na ukiletwa tena mwingine kama huu ndoa moja tena.
 
Mnatuzingua bwana, nikizaliwa Mzee wangu alikuwa 44yo, nimeshakuwa kidume na my dad is still kicking. Hakika kufa utakufa, lakini haijulikani lini...
Nikweli wengine tumezaliwa wazaz wakiwa na umri wa zaidi ya miaka 40 na sasaivi tumeshakuwa wakubwa na tunajitegemea na yeye Anatutegemea
 
Siyo majanga piga hesabu mfano, kwenye familia yenu mmezaliwa 6 unadhani baba yako wakati hana wazaa wote, halikuwa chini ya miaka 35?
Mkuu kuzaliwa na mzazi hata akiwa na umri wa miaka 50 hakuna tatizo.

Tangia mwanzo tumeondoka na mada hii tukijadili kuchelewa kuoa na kuchelewa kupata watoto.

Mantiki ya mtoto anayeongelewa hapa ni first born.

Je kuanzisha familia baada ya 40' kuna tija?
 
Back
Top Bottom