Kama umoja wa ulaya ndio wanawatuma CDM, mikataba toka uhuru walikuwa wanatumwa na nani? 40% ya bajeti anatoa nani?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,571
2,000
Naona CCM inashutumu CHADEMA kuwa wako karibu na umoja wa Ulaya ila huwa hawasemi wao hadi balozi wa China anavaa sare za CCM huwa hawaoni boriti ndani ya jicho lao.

Hivi ile misaada na mikataba ya rasilimali za nchi walizosaini CCM toka uhuru walisaini CHADEMA? Hadi juzi mnampa mchina gesi walisaini CHADEMA? Migodi yote walisaini CHADEMA?

Ile misaada ya Ulaya huwa inakuja bure toka kwa hao mabwana?

Vitalu vya uwindaji walisainiwa na CHADEMA?

Ni kipi ambacho hamjauza ambacho wanikitaka hao mabwana ambacho CHADEMA watawapa? Semeni ni kipi
 
Mar 15, 2014
57
125
Kama kuagiza dawa nje kulimuuma sana na kuwataka maaskofu waombee uanzishwaji wa viwanda badala ya mambo mengine yasiyo na tija hope na hili Mkataba uliovunjwa na kusababisha tuiilipe kampuni ya ujenzi baada ya kushikiliwa kwa ndege MHESHIMIWA na hili litamuuma sana na nina wasiwasi kwa jinsi alivyo mzalendo namba moja na msema kweli yeye ni mpenzi wa mungu ataagiza vyombo vya dola KUMTAFUTA POPOTE ALIPO WAZIRI ALIyeKURUPUKA NA JIZI KAMA YALIVYO MAJIZI MENGINE YALIYOSABABISHA HASARA KWA TAIFA,pamoja na waziri mwingine wa uvuvialiyeikamata MELI YA UVUVI YA KICHINA na kuisababishia hasara pia NCHI,WATANZANIA TUMUUNGE MKONO MHESHIMIWA MAANA VITA ANAYOPIGANA NAYO NI NGUMU
 

vous

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
661
1,000
Naona ccm inashutumu chadema kuwa wako karibu na umoja wa ulaya ila huwa hawasemi wao hadi balozi wa china anavaa sare za ccm huwa hawaoni boliti ndani ya jicho lao.

Ivi ile misaada na mikataba ya rasilimali za nchi walizosaini ccm toka uhuru walisaini chadema? Hadi juzi mnampa mchina gesi walisaini chadema? Migodi yote walisaini chadema?

Ile misaada ya ulaya huwa inakuja bure toka kwa hao mabwana?

Vitalu vya uwindaji walisainiwa na chadema?

Ni kipi ambacho hamjauza ambacho wanikitaka hao mabwana ambacho chadema watawapa? Semeni ni kipi
Mkuu
Mbna iko so clear
N kwamba mshamba wa zaman kaamka kaanza kuwa mjanja so now wanataka kutumiwa washamba wagen.
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
14,015
2,000
Mkuu
Mbna iko so clear
N kwamba mshamba wa zaman kaamka kaanza kuwa mjanja so now wanataka kutumiwa washamba wagen.
Kwahiyo bajeti yenu sahivi haiwi funded tena na wazungu?? Una maana wazungu wameshaacha kuchimba madini nchini?? Una maama mikataba yote mibovu imevunjwa ama
 

Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
9,403
2,000

Kweli hapa ni kwa Great thinkers.
Naamini kwa kipande hiki Cha uzi mwanaccm hana hoja zaidi ya kutukana
 

nkese

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
3,042
2,000
Threads kama hizi Abbas hatoi tamko lolote,kwani ziko juuvmno ya uwezo wake na mwajiri wake.

Ingekuwa habari ya madiwani wawili wajiuzuru,Mbowe/Chadema wasema "patachimbika" ungewasikia hata wenye PhD za kuunga unga n.a. polisifisi wanaibuka n.a. MATAMKO makali kama ndimi za moto!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom