Mzee muulizie basi gugo pixel 4 au zinaendaje kwa second hand kama zipo natka ninyake iwe simu yang ya piliKuna jamaa yangu alikuwa US, nilinunua amazon akaipokea kaka
Pixel 4 bado pesa ndefu, ila 3 na 2 bei rahisi sana..Mzee muulizie basi gugo pixel 4 au zinaendaje kwa second hand kama zipo natka ninyake iwe simu yang ya pili
Mkuu kwa hizo ulizotaja ipi bora apo,Je bado zinapata update ? Natka nicheze na Aramex wanileteePixel 4 bado pesa ndefu, ila 3 na 2 bei rahisi sana..
2 used Dola 60 zinaanzia na mpya pixel 2 Xl 128GB as cheap as 134. (150,000 mpaka 350,000)
Pixel 3 used Dola 80 mpya mpaka Dola 200 (laki 2 mpaka 5)
Naiona bado 3 ni nzur nimeona spec hapa ziko je vipi ukaaji wa chaji?update ya android 12 si itapokea piaMkuu kwa hizo ulizotaja ipi bora apo,Je bado zinapata update ? Natka nicheze na Aramex waniletee
Pixel 2 mwisho 11, sijajua 3 mpaka wapi.Mkuu kwa hizo ulizotaja ipi bora apo,Je bado zinapata update ? Natka nicheze na Aramex waniletee
Pixel 2 mwisho 11, sijajua 3 mpaka wapi.
Tatizo la pixel ni ukaaji chaji, nyingi hazikai sana na charge.
Kikawaida unanunua pixel kwa ajili ya
-camera
-unlocked Bootloader kuweka custom rom kirahisi
-stock android.
Hivyo Angalia mwenyewe.
Mkuu ingia tu amazon, create account kisha anza kutafuta chaguo lako, wauzaji wako wengi na bei tofauti tofauti pia zipo bidhaa ambazo muuzaji hatumi kwa baadhi ya nchi, kwaiyo ukiwa na account yenye address yako ni rahisi kujua bidhaa ipi inaweza kutumwa nchini mwako.Mzee muulizie basi gugo pixel 4 au zinaendaje kwa second hand kama zipo natka ninyake iwe simu yang ya pili
ObejaMkuu ingia tu amazon, create account kisha anza kutafuta chaguo lako, wauzaji wako wengi na bei tofauti tofauti pia zipo bidhaa ambazo muuzaji hatumi kwa baadhi ya nchi, kwaiyo ukiwa na account yenye address yako ni rahisi kujua bidhaa ipi inaweza kutumwa nchini mwako.