Kama umewahi kutumia simu aina ya LG Velvet 5G G900UM maoni yako yanahitajika tafadhali

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
3,416
2,000
Pixel 4 bado pesa ndefu, ila 3 na 2 bei rahisi sana..

2 used Dola 60 zinaanzia na mpya pixel 2 Xl 128GB as cheap as 134. (150,000 mpaka 350,000)

Pixel 3 used Dola 80 mpya mpaka Dola 200 (laki 2 mpaka 5)
Mkuu kwa hizo ulizotaja ipi bora apo,Je bado zinapata update ? Natka nicheze na Aramex waniletee
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,713
2,000
Mkuu kwa hizo ulizotaja ipi bora apo,Je bado zinapata update ? Natka nicheze na Aramex waniletee
Pixel 2 mwisho 11, sijajua 3 mpaka wapi.

Tatizo la pixel ni ukaaji chaji, nyingi hazikai sana na charge.

Kikawaida unanunua pixel kwa ajili ya
-camera
-unlocked Bootloader kuweka custom rom kirahisi
-stock android.

Hivyo Angalia mwenyewe.
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
3,416
2,000
Pixel 2 mwisho 11, sijajua 3 mpaka wapi.

Tatizo la pixel ni ukaaji chaji, nyingi hazikai sana na charge.

Kikawaida unanunua pixel kwa ajili ya
-camera
-unlocked Bootloader kuweka custom rom kirahisi
-stock android.

Hivyo Angalia mwenyewe.

Kwangu haina shida manake ni kisim chapili tu so akuna shida angalia tu ambayo haijafungwa network unifowadielink apa. Nione nafanya nn nichat na seller kwanza.
Unaposemea mambo ya bootloader kua zinakuja zikiwa unlocked au
 
Goodguy

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
402
1,000
Mzee muulizie basi gugo pixel 4 au zinaendaje kwa second hand kama zipo natka ninyake iwe simu yang ya pili
Mkuu ingia tu amazon, create account kisha anza kutafuta chaguo lako, wauzaji wako wengi na bei tofauti tofauti pia zipo bidhaa ambazo muuzaji hatumi kwa baadhi ya nchi, kwaiyo ukiwa na account yenye address yako ni rahisi kujua bidhaa ipi inaweza kutumwa nchini mwako.
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
3,416
2,000
Mkuu ingia tu amazon, create account kisha anza kutafuta chaguo lako, wauzaji wako wengi na bei tofauti tofauti pia zipo bidhaa ambazo muuzaji hatumi kwa baadhi ya nchi, kwaiyo ukiwa na account yenye address yako ni rahisi kujua bidhaa ipi inaweza kutumwa nchini mwako.
Obeja
 
ngebo

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
1,590
2,000
Tajiri Kanata pixel 4 mpya 64 gb, ukiwa nayo hii hata iphone 11 huhitaji kwenye swala la camera na software, Face I'd Iko fast kuliko iPhone yote Ile... Battery mAh 2900.... Bei 760k tu
Screenshot_20220110-135300~2.jpg
Screenshot_20220110-135308~2.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom