SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,068
Hiki sakata sitaki kulikumbuka aisee, niliwapitia mtu na mama ake mdogo,
Aalf wanafiki wakalifikisha kwa wife... Nilijuta kubalehe..
Kweli hilo sakata
Hiki sakata sitaki kulikumbuka aisee, niliwapitia mtu na mama ake mdogo,
Aalf wanafiki wakalifikisha kwa wife... Nilijuta kubalehe..
Viwanda vyenyewe eti vya kubangua korosho na kusindika mbege si bora tuwaze papuchi maisha yasonge, viwanda bila kilimoThread kama hizi huwa nazipenda Sana maana maisha jinsi yalivyo magumu na majanga Tele angalau ukizikuta hizi zinakupunguzia stress,Kuna watu wanataka tujadiri viwanda tu humu haiwezekan lazma turelax kidogo
Ukimwi waliumbiwa binadam hamwezi kuchomokaUKIMWI hauishi ng'ooo...
habari yako tupo wote john bosco iringaYeah mtera tulidumu naye mpaka 2009 akaja kamanda mmoja anaitwa Shura .shura alikuwa anataka Tosa iwe kama seminar school.hata ukitaka kwenda ipamba au msiwasi lazima uombe ruhusa
Wenye "F" kwenye kugegeda mnakuaga short tempered kinoma...
Unaelewa maana halisi ya kula kuku na mayai yake mkuu?Sawa mkuu, nilikuwa nakuchokoza tu wewe mtaalamu wa kula kuku na mayai yake , haya tunaomba ushuhuda
Hahaha ! Mlunza Mzee wa kugawa mchuzi wa maharage .Mkuu tosa mwaka gani .....mzee mlunza ulimkuta ??.....au ulikuwa bado chuwa
Ni mwenyewe huyo.Ni huyu mchaga mnene mweupe, labda ndiye...