Kama umewahi kula kuku na mayai yake njoo utoe ushuhuda hapa

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,791
15,692
Salaam wandugu. Najua kwa wale wazee wenzangu mliocheza mechi nyingi si ajabu ukakutana na vitu vya namna hii, vya either umekula mtoto na mamayake ama mtu na mdogo wake ama mtu na shangazi yake , n.k Binafsi mimi nimewahi kukutana na hilo la kula mtu na mdogo wake mara ila kwa Leo nitazungumzia moja.

NI HIVI: Utotoni niliwahi kuishi quarters fulani Mtwara, kipindi hicho niko shule ya msingi, jirani yetu alikuwa na mabinti wawili ambaye mmoja nilimzidi darasa moja, mwingine nilimzidi madarasa manne, huyo mmoja alikuwa mkubwa kidogo nimecheza naye sana utotoni huku yule mwingine akiwa mdogo sana kwangu. Ikatokea mzee wangu akapata uhamisho kwenda Mwanza tukapotezana kwa kipindi kirefu. Siku 1 nipo Iringa masomoni nikiwa form6 nadhurura mjini Mara msichana mrembo ambaye jina lake linaanzia na herufi J akiwa upande wa pili wa barabara akaniita jina langu la kinyumbani, nikashangaa huyu nani tena, maana hilo jina wanaolijua wa nyumbani, nikamsogelea karibu ikawa sura inanijia kwa mbali ila bado sikuweza kujua ni nani, akauliza wewe si fulani? Nikajibu ndio, akauliza umenitambua? Nikasema hapana, akasema Mimi ni J tulikuwa wote Mtwara ndio nikamtambua, ila alikuwa kabadilika sana kawa mrembo, bastola za hatari, nikamtamani palepale. Tulibadilishana mawasiliano, alikuwa akiniita kaka ila siku zilivyozidi kusonga tukajikuta tumekuwa wapenzi, kwakuwa nilikuwa na ugwadu wa boys (Tosamaganga) sikuchelewesha nikaomba mchezo nikapiga gemu, katika story naulizia ndugu zake wengine wako wapi akaniambia, yule mtoto mwingine wa kike alikuwa masomoni mkoa mwingine hivyo sikuweza kuonana nae, baada ya miaka kadhaa nilienda kuishi Dar baada ya kumaliza masomo yangu ya secondary na chuo, siku moja nikapigiwa simu na msichana namba yake ikawa ngeni kwenye phonebook yangu, akajitambulisha kwa jinalake linaloanza na herufi E, kwamba ndio yule mdogo wa J kipindi hicho ananiita kaka, na kwamba kwa wakati huo amemaliza masomo yake na ni mwalimu wa shule moja ya private. Tulifurahi kwa pamoja kuwa na mawasiliano, tuliendelea kuchat kwa mda mrefu na kuonana kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kuzoeana sana demu akaanza kushoboka na kuingizia ishu za mapenzi, ikawa sio kaka sasa ni dear, baada ya miezi kadhaa tukakutana nikajimegea mzigo kiulaiiini, na demu akaniganda kwelikweli, sasa shida ikaja siku 1 dadayake alikuja dar akafikia kwa mdogo wake akawa anataka nikamtembelee akiwa na mdogo wake, wakati huo na dadayake tulikuwa tukiendelea kuwasiliana kama wapenzi, ilinipa tabu sana ila nilifanikiwa kuukwepa huo mwaliko na kila mmoja nilikuwa nikikutana naye kwa wakati wake. Karibu kwa ushuhuda walafi wenzangu....
 
kuna mimtu nawashangaa kwa shuhuda zao za kipekee..wanajikita kwa kila uzi unaohusiana na ngono..hawakosi tukio linaloendana na mada husika..hivi maisha yanawapelekaje nyinyi magwiji wa mchezo pendwa?ila isiwe ishu..ni observation tu nimefanya wala sina nia yoyote..
 
Back
Top Bottom