Kama umewahi kula kuku na mayai yake njoo utoe ushuhuda hapa

Mmh! Mimi nilianza na dada mtu nikaja mdogo mtu na aunt yao sema mama sijawai bado hapo
 
Ha ha ha mlunza nimemkumbuka Yule jombaa Mzee wa jikoni .Tosa 2008_2010
Mi nilisoma 2006/2008 kipindi tuko form six lilitokea so kubwa sana shuleni ikasababisha shule kufungwa ndio akaletwa 'kamanda' Mtera kusafisha hali ya hewa, mlimkuta?
 
Salaam wandugu. Najua kwa wale wazee wenzangu mliocheza mechi nyingi si ajabu ukakutana na vitu vya namna hii, vya either umekula mtoto na mamayake ama mtu na mdogo wake ama mtu na shangazi yake , n.k Binafsi mimi nimewahi kukutana na hilo la kula mtu na mdogo wake mara ila kwa Leo nitazungumzia moja.

NI HIVI: Utotoni niliwahi kuishi quarters fulani Mtwara, kipindi hicho niko shule ya msingi, jirani yetu alikuwa na mabinti wawili ambaye mmoja nilimzidi darasa moja, mwingine nilimzidi madarasa manne, huyo mmoja alikuwa mkubwa kidogo nimecheza naye sana utotoni huku yule mwingine akiwa mdogo sana kwangu. Ikatokea mzee wangu akapata uhamisho kwenda Mwanza tukapotezana kwa kipindi kirefu. Siku 1 nipo Iringa masomoni nikiwa form6 nadhurura mjini Mara msichana mrembo ambaye jina lake linaanzia na herufi J akiwa upande wa pili wa barabara akaniita jina langu la kinyumbani, nikashangaa huyu nani tena, maana hilo jina wanaolijua wa nyumbani, nikamsogelea karibu ikawa sura inanijia kwa mbali ila bado sikuweza kujua ni nani, akauliza wewe si fulani? Nikajibu ndio, akauliza umenitambua? Nikasema hapana, akasema Mimi ni J tulikuwa wote Mtwara ndio nikamtambua, ila alikuwa kabadilika sana kawa mrembo, bastola za hatari, nikamtamani palepale. Tulibadilishana mawasiliano, alikuwa akiniita kaka ila siku zilivyozidi kusonga tukajikuta tumekuwa wapenzi, kwakuwa nilikuwa na ugwadu wa boys (Tosamaganga) sikuchelewesha nikaomba mchezo nikapiga gemu, katika story naulizia ndugu zake wengine wako wapi akaniambia, yule mtoto mwingine wa kike alikuwa masomoni mkoa mwingine hivyo sikuweza kuonana nae, baada ya miaka kadhaa nilienda kuishi Dar baada ya kumaliza masomo yangu ya secondary na chuo, siku moja nikapigiwa simu na msichana namba yake ikawa ngeni kwenye phonebook yangu, akajitambulisha kwa jinalake linaloanza na herufi E, kwamba ndio yule mdogo wa J kipindi hicho ananiita kaka, na kwamba kwa wakati huo amemaliza masomo yake na ni mwalimu wa shule moja ya private. Tulifurahi kwa pamoja kuwa na mawasiliano, tuliendelea kuchat kwa mda mrefu na kuonana kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kuzoeana sana demu akaanza kushoboka na kuingizia ishu za mapenzi, ikawa sio kaka sasa ni dear, baada ya miezi kadhaa tukakutana nikajimegea mzigo kiulaiiini, na demu akaniganda kwelikweli, sasa shida ikaja siku 1 dadayake alikuja dar akafikia kwa mdogo wake akawa anataka nikamtembelee akiwa na mdogo wake, wakati huo na dadayake tulikuwa tukiendelea kuwasiliana kama wapenzi, ilinipa tabu sana ila nilifanikiwa kuukwepa huo mwaliko na kila mmoja nilikuwa nikikutana naye kwa wakati wake. Karibu kwa ushuhuda walafi wenzangu....
Kwa stori yako hii,basi hujala kuku na mayai yake mkuu......start afresh your mission.
 
Mi nilisoma 2006/2008 kipindi tuko form six lilitokea so kubwa sana shuleni ikasababisha shule kufungwa ndio akaletwa 'kamanda' Mtera kusafisha hali ya hewa, mlimkuta?
Yeah mtera tulidumu naye mpaka 2009 akaja kamanda mmoja anaitwa Shura .shura alikuwa anataka Tosa iwe kama seminar school.hata ukitaka kwenda ipamba au msiwasi lazima uombe ruhusa
 
Aisee tulikaa na Mtera kwa miezi kama miwili ila tuliona kama mwaka, ile shule tulivyolelewa enzi za mtu anaitwa charwe ni tofauti kabisa na majanga aliyoyaleta huyo jamaa, enzi za charwe (marehemu) tulikuwa huru kupita kiasi, unazurura mjini bila uniform hakuna anayekuhoji, in short baada ya lile saga ile shule iliharibika kabisa kukawa sio 'kiumeni' tena
 
Mkuu tunachotaka ushuhuda, huo ndo ushuhuda wako dada?

Screpa ni kitu kilicho tumika kinaelekea kuexpire kwa matumizi ya binadamu, iwe kompyuta au kitu chochote.

Mkuu wewe jina lako screpa, sina ubishi wewe ni screpa mpaka kunako ubongo.
 
Ndio ushuhuda huo? Watanzania ndio maana mnafeli
 
Salaam wandugu. Najua kwa wale wazee wenzangu mliocheza mechi nyingi si ajabu ukakutana na vitu vya namna hii, vya either umekula mtoto na mamayake ama mtu na mdogo wake ama mtu na shangazi yake , n.k Binafsi mimi nimewahi kukutana na hilo la kula mtu na mdogo wake mara ila kwa Leo nitazungumzia moja.

NI HIVI: Utotoni niliwahi kuishi quarters fulani Mtwara, kipindi hicho niko shule ya msingi, jirani yetu alikuwa na mabinti wawili ambaye mmoja nilimzidi darasa moja, mwingine nilimzidi madarasa manne, huyo mmoja alikuwa mkubwa kidogo nimecheza naye sana utotoni huku yule mwingine akiwa mdogo sana kwangu. Ikatokea mzee wangu akapata uhamisho kwenda Mwanza tukapotezana kwa kipindi kirefu. Siku 1 nipo Iringa masomoni nikiwa form6 nadhurura mjini Mara msichana mrembo ambaye jina lake linaanzia na herufi J akiwa upande wa pili wa barabara akaniita jina langu la kinyumbani, nikashangaa huyu nani tena, maana hilo jina wanaolijua wa nyumbani, nikamsogelea karibu ikawa sura inanijia kwa mbali ila bado sikuweza kujua ni nani, akauliza wewe si fulani? Nikajibu ndio, akauliza umenitambua? Nikasema hapana, akasema Mimi ni J tulikuwa wote Mtwara ndio nikamtambua, ila alikuwa kabadilika sana kawa mrembo, bastola za hatari, nikamtamani palepale. Tulibadilishana mawasiliano, alikuwa akiniita kaka ila siku zilivyozidi kusonga tukajikuta tumekuwa wapenzi, kwakuwa nilikuwa na ugwadu wa boys (Tosamaganga) sikuchelewesha nikaomba mchezo nikapiga gemu, katika story naulizia ndugu zake wengine wako wapi akaniambia, yule mtoto mwingine wa kike alikuwa masomoni mkoa mwingine hivyo sikuweza kuonana nae, baada ya miaka kadhaa nilienda kuishi Dar baada ya kumaliza masomo yangu ya secondary na chuo, siku moja nikapigiwa simu na msichana namba yake ikawa ngeni kwenye phonebook yangu, akajitambulisha kwa jinalake linaloanza na herufi E, kwamba ndio yule mdogo wa J kipindi hicho ananiita kaka, na kwamba kwa wakati huo amemaliza masomo yake na ni mwalimu wa shule moja ya private. Tulifurahi kwa pamoja kuwa na mawasiliano, tuliendelea kuchat kwa mda mrefu na kuonana kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kuzoeana sana demu akaanza kushoboka na kuingizia ishu za mapenzi, ikawa sio kaka sasa ni dear, baada ya miezi kadhaa tukakutana nikajimegea mzigo kiulaiiini, na demu akaniganda kwelikweli, sasa shida ikaja siku 1 dadayake alikuja dar akafikia kwa mdogo wake akawa anataka nikamtembelee akiwa na mdogo wake, wakati huo na dadayake tulikuwa tukiendelea kuwasiliana kama wapenzi, ilinipa tabu sana ila nilifanikiwa kuukwepa huo mwaliko na kila mmoja nilikuwa nikikutana naye kwa wakati wake. Karibu kwa ushuhuda walafi wenzangu....
Aya bana mzee wa sifongo,pale ipamba nursing hukupiga.
 
Back
Top Bottom