Usinijibu ivyo
Member
- Nov 5, 2019
- 14
- 25
Mwaka jana ulikuwa mwaka mzuri sana kwangu mwanzoni,uchachu ulianza ulipofika katikati ya mwaka hapa nazungumzia mwezi wa sita ambapo nliweza pata aibu kubwa ambayo kila nkiikumbuka huwa najiona bonge gaidi
Nakumbuka siku moja nlikuwa na wife tunaangalia tv chumbani kwenye nyumba moja ya mabibo ambayo tulikuwa tumepanga maeneo ya Mabibo. Wakati tunaendelea na kucheck tv, ghafla text ikaingia kwenye simu yangu ikisema "my leo nipo bored na mr hayupo huku, kama vip njoo unipe kampani". Huyu alikuwa ni mpangaji ni mke wa mpangaji mwenzangu ambaye mara nyingi mumewe anapoondoka usiku mimi ndo huwa naenda kuutawala mji wake, na ili nitoke basi nlikuwa na nasubiri mke wangu alale huku mi nazuga nacheki muvi.
Nkimchungulia nkiona kashaangusha gari basi mimi huyo naelekea viwanja kujilia vyangu. Kumbe ule mchezo aliugundua; vipi, ata sielewi, maana mke wangu mi ndo namuelewa. Yaani ana usingizi mzito balaa, lakini siku ile sijui ata ilikuwaje maana baada ya mi kumaliza kwa yule dem wa jamaa nkawa najirudia zangu chumbani kwangu huku nanyata maana uzuri tulikuwa wapangaji watatu tu, huyu mwingine alikuwa ni jamaa naye kaoa.
Cha ajabu ile naingia ndani taratibu nkachange bukta na kuvaa boksa tu maana kule nlienda na bukta kavu, nikapanda kitandani nakujifunika ghafla nkaskia "umeacha nyumba zote za mbali umeona uje unizunguke hum humu" aisee moyo ulinipasuka balaa.
Toeni na nyie vya kwenu yangu itaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app