KAMA UMEUMIZWA NA MAZINGIRA HAYA YA WATOTO WET U, TAFADHALI SAMBAZA PICHA HII ILI WAHUSIKA WACHUKUE HATUA

Witmak255

Witmak255

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2019
Messages
2,183
Points
2,000
Witmak255

Witmak255

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2019
2,183 2,000
Picha hii imerushwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram na mwandishi wa vitabu na makala mbalimbali hapa nchini ndugu Erick Shigongo. Ikiwa inaonesha mazingira magumu ya watoto hawa ambao wamekaa kwenye kijumba cha tope (kama darasa) na wakati huo huo mvua imenyesha na maji yamejikusanya ndani ya kijumba hicho (kama inavyoonekana).

Ni dhahiri kuwa mazingira ya wanafunzi wanaotoka katika familia maskini hapa nchini ni magumu sana, kiasi ambacho hayastahili kwa mtoto anaendaliwa kwa ajili ya kupata elimu bora ya kumsaidia katika maisha ya kesho yake na kulisaidia Taifa.

Ni kweli kuwa Serikali imeonesha kushindwa sehemu kubwa sana katika kuimarisha mazingira ya watoto hawa wale wanaoitwa "wanyonge" ambao ni tegemeo la kesho katika familia zao. Serikali imeshindwa kabisa kuboresha huduma hi ya Elimu hususani kwenye shule za Misingi.

Lakini turudi katika jamii zetu, hivi ni kweli kuwa jamii inayozunguka shule kama hii haioni hali ya watoto hawa?
Kwamba unaweza ikajichanga walau ikajenga darasa moja kwa ajili ya watoto hawa.
Hivi ni kweli kwamba eneo hili halina Diwani wa kuweza kuliona hili jambo na kulishughulikia kwa namna ambayo anaweza yeye?

Hapana!! Hapana!! Hapana!! Tusikubali kabisa kuwatelekeza watoto wetu katika mazingira haya. Huu ni utelekezaji wa watoto. Watoto kama hawa tunategemea waelewe nini hapa?
Hata mentality zao hazipo kabisa katika kuelewa.
Hebu jamii tusijisahau kwa kiwango hiki, ikiwa kuna mtu anatakiwa kuwajibika katika hili basi na awajibishwe na jamii hata kwa kumlazimisha kuwajibika.

Nimesononeka sana moyoni mwangu!! Maana hata Mimi nimesoma katika mazingira ya kawaida na magumu lakini si ya namna hii.
Tuwasaidie watoto hawa, hawana hatia.
Ndugu Eric Shigongo na wote mnaofahamu tusaidieni kufahamu mahala hii shule ilipo.

fb_img_1557425855307-jpeg.1092830
 
Kinyungu

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Messages
6,565
Points
2,000
Kinyungu

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2008
6,565 2,000

View attachment 1092830
Haya ndiyo maendeleo wanayojivunia ccm miaka zaidi ya 55 baada ya uhuru wetu toka kwa mkoloni
 
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
31,237
Points
2,000
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
31,237 2,000
Tanzania
 
I

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Messages
2,688
Points
2,000
I

Islam005

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2008
2,688 2,000
Rais ameshasema tunanua ndege kwanza na kujenga stiglaz joji, acheni kelele. Kama unataka kutekwa endelea kutusumbua
 
R

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Messages
379
Points
225
R

rechungura1

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2015
379 225
duh wangesubiri hata maji yakauke basi dah
 
Marcel Nkarangu

Marcel Nkarangu

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
320
Points
225
Marcel Nkarangu

Marcel Nkarangu

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
320 225
Kwani huo mkoa si una mbunge diwani mkuu wa wilaya.. Hao ndio wa kulaumiwa na wala sio baba Jesca
 
Forum statistics

Threads 1,304,946
Members 501,612
Posts 31,532,525
Top