JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 576
- 263
- Thread starter
- #21
shukran sana kwa upembuzi yakinifu wenye kueleza uhalisia,changamoto na mwisho kutia matumaini na kuondoa hofuNaenda kasome tu. Kigumu ni research na hyo Mara nyingi huwa nasema unapofanya research unapaswa kujiandaa kisaikolojia pia manake unaweza ukaandika vitu hadi ukajisifu mwenyewe halafu ukaenda kwa supervisor akakwambia hakuna chochote cha maana ulichoandika. Au umemaliza kila kitu na supervisor wako siku ya kufanya defence ya kazi yako kwenye panel ukaambiwa kazi yako yote ni hakuna kitu hapo jasho litakutoka,utakata tamaa na kuikumbuka hela yako ya ada kabla mambo hayajarudi kwenye mstari na hatimae kumaliza vizuri kabisa. Coursework siyo ngumu ila ni sumbufu. Manake kuna assignments, tests na UE. Hata kama huna idea na research nenda utaenda kuipata hukohuko na utaendana nayo vizuri na utamaliza kama wengine wengi walomaliza na wataomaliza.