kama umesoma business adminisrtaion hii hapa kazi itakufaa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kama umesoma business adminisrtaion hii hapa kazi itakufaa.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Bilali isema, May 10, 2012.

 1. B

  Bilali isema New Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kagemi &tibaijuka company wanataka watu wa kufanya internship yenye malipo katika ofisi zao.kama unataka kuapply nenda kwenye.www.kagemitibaijuka.com
   
 2. mean girl

  mean girl Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  asante ndugu lakini website mbona haipo ukii click
   
 3. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hyo kazi ya kutembeza vitu nini km xs marketing ndo maana umetangaza humu maana nyinyi akina tibaijuka ni wabaguzi sana wa ukabila maana kwenye organization top akiwa tibaijuka ofisi hyo hukuti mushi,wala shekalage wenyewe tu hadi lugha ya ofisi mnaongea kikwenu kudadeki hyo nimeitolea mfano ofisi ya umma,leo ndo ofisi yako wewe tibaijuka unafikiri itakuwaje hyo hela ya kutumia maombi kwenu bora nikanunue azam cola.
   
 4. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  The web u provided dont seem to be working pal
   
Loading...