Kama umesikia lolote kuhusu msamaha wa kodi za miaka ya nyuma alioagiza Rais Samia kwenye bajeti ya leo tuambie

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,375
Rais Samia Suluhu akiwa ziarani Kagera ALIIAGIZA TRA KUACHA KUWADAI WAFANYABIASHARA KODI ZA MIAKA YA NYUMA , kwamba huo ni uzembe wao wenyewe , hivyo wasisumbue Wafanyabiashara na kwamba wawaache wafanyabiashara wapate raha .

Kauli ya Rais wa Nchi kimsingi ni Amri , Sasa swali langu ni dogo tu , kwa nyinyi mliofuatilia hotuba ya Waziri wa fedha , Je hili jambo limezungumzwa ?
 
Kauli ya Mweshimiwa Rais imetolewa wakati Hotuba ya Waziri wa Fedha tayari imeshachapwa! Na pia Kauli ya Rais na Waziri Mkuu zikitolewa akuna wa kupinga
 
Kwani bajeti yenyewe ni kiasi gani? Ya maendeleo ni ngapi? Tozo zimetajwa humo kama chanzo kipya au zitaendelea kuingia mifukoni mwao kihalali kabisaa?
 
Rais Samia Suluhu akiwa ziarani Kagera ALIIAGIZA TRA KUACHA KUWADAI WAFANYABIASHARA KODI ZA MIAKA YA NYUMA , kwamba huo ni uzembe wao wenyewe , hivyo wasisumbue Wafanyabiashara na kwamba wawaache wafanyabiashara wapate raha .

Kauli ya Rais wa Nchi kimsingi ni Amri , Sasa swali langu ni dogo tu , kwa nyinyi mliofuatilia hotuba ya Waziri wa fedha , Je hili jambo limezungumzwa ?
Go back to school.

Sasa hyo inahuaiana vipi na bajeti ya 22/2023?

Kama hurudi shule baki na upumbavu wako
 
Rais Samia Suluhu akiwa ziarani Kagera ALIIAGIZA TRA KUACHA KUWADAI WAFANYABIASHARA KODI ZA MIAKA YA NYUMA , kwamba huo ni uzembe wao wenyewe , hivyo wasisumbue Wafanyabiashara na kwamba wawaache wafanyabiashara wapate raha .

Kauli ya Rais wa Nchi kimsingi ni Amri , Sasa swali langu ni dogo tu , kwa nyinyi mliofuatilia hotuba ya Waziri wa fedha , Je hili jambo limezungumzwa ?
Wakati anaongea alivembewa Kande.

Alikuwa anajikosha maana hakuna la maana alilofanya huko.
 
Back
Top Bottom