Mungu akuzidishie, najua hio simu bado ina line yake,kwa nini usitafute namba ya mtu wake was karibu kama - baby,honey, baba, mama fulani- umpigie iwapo anamfahamu mwenye namba then umpatie, maana humu jamvini itachukua muda kumpata mwenyewe au ipeleke polisi
kama umepoteza cm aina ya samsang galaxy nyeupe mtaa wa ARUSHA SAKINA KWA IDD niPM tuwasiliane
Ni mwezi uliopita ni pm nikuelekeze namna ya kuipata.
Tangu mwezi uliopita ulisubiri nini kumtafuta mwenyewe siku zote hizi zaidi ya mwezi sasa? Umeshindwa kuifungua na kuitumia au haiuziki??
Mungu akuzidishie, najua hio simu bado ina line yake,kwa nini usitafute namba ya mtu wake was karibu kama - baby,honey, baba, mama fulani- umpigie iwapo anamfahamu mwenye namba then umpatie, maana humu jamvini itachukua muda kumpata mwenyewe au ipeleke polisi
mazingaobwe ayo, dunia ya leo hamna msaada usio na malipo, nina mashaka sana na wewe km vile ni kalubandika
Tangu mwezi uliopita ulisubiri nini kumtafuta mwenyewe siku zote hizi zaidi ya mwezi sasa? Umeshindwa kuifungua na kuitumia au haiuziki??
Kwa hio unataka kumkamatisha au? Kwa confidence uliyoionyesha kuitangaza hapa why ushindwe kumwambia huyo anayeitumia kuwa hio simu si yako, ama umripotishe kwa wahusika?Ninamfahamu aliyeiokota ila aliitoa line hapohapo na anaitumia
Nakubaliana na wewe,huyu jamaa ni fixhamna ki2 apo ni walewale watafuta riziki kwa njia isiyo halali kama simu iko on c apeleke kwnye office za mtandao anaotumia ili wamtafute mteja wao, wale wana details zote za wateja wao
Tangu mwezi uliopita ulisubiri nini kumtafuta mwenyewe siku zote hizi zaidi ya mwezi sasa? Umeshindwa kuifungua na kuitumia au haiuziki??
Kwa hio unataka kumkamatisha au? Kwa confidence uliyoionyesha kuitangaza hapa why ushindwe kumwambia huyo anayeitumia kuwa hio simu si yako, ama umripotishe kwa wahusika?
Mpeleke polisiNinamfahamu aliyeiokota ila aliitoa line hapohapo na anaitumia