Kama umepoteza simu aina ya samsang galaxy nyeupe maeneo ya Arusha nitafute

Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,820
2,000
kama umepoteza cm aina ya samsang galaxy nyeupe mtaa wa ARUSHA SAKINA KWA IDD niPM tuwasiliane

Ni mwezi uliopita ni pm nikuelekeze namna ya kuipata.
 
bdo

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,772
2,000
Mungu akuzidishie, najua hio simu bado ina line yake,kwa nini usitafute namba ya mtu wake was karibu kama - baby,honey, baba, mama fulani- umpigie iwapo anamfahamu mwenye namba then umpatie, maana humu jamvini itachukua muda kumpata mwenyewe au ipeleke polisi
 
chingas

JF-Expert Member
Oct 29, 2014
261
195

hamna ki2 apo ni walewale watafuta riziki kwa njia isiyo halali kama simu iko on c apeleke kwnye office za mtandao anaotumia ili wamtafute mteja wao, wale wana details zote za wateja wao
 
Showme

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
1,171
1,225
kama umepoteza cm aina ya samsang galaxy nyeupe mtaa wa ARUSHA SAKINA KWA IDD niPM tuwasiliane

Ni mwezi uliopita ni pm nikuelekeze namna ya kuipata.

Tangu mwezi uliopita ulisubiri nini kumtafuta mwenyewe siku zote hizi zaidi ya mwezi sasa? Umeshindwa kuifungua na kuitumia au haiuziki??
 
Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,820
2,000
Mungu akuzidishie, najua hio simu bado ina line yake,kwa nini usitafute namba ya mtu wake was karibu kama - baby,honey, baba, mama fulani- umpigie iwapo anamfahamu mwenye namba then umpatie, maana humu jamvini itachukua muda kumpata mwenyewe au ipeleke polisi

Ninamfahamu aliyeiokota ila aliitoa line hapohapo na anaitumia
 
Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,820
2,000
mazingaobwe ayo, dunia ya leo hamna msaada usio na malipo, nina mashaka sana na wewe km vile ni kalubandika

si kweli mkuu cm ipo na inatumiwa ila ni huruma kwa mpotezaji kwani ni ya gharama kubwa sana na aliyeiokota hashauriki kumtafuta mwenye nayo
 
Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,820
2,000
Tangu mwezi uliopita ulisubiri nini kumtafuta mwenyewe siku zote hizi zaidi ya mwezi sasa? Umeshindwa kuifungua na kuitumia au haiuziki??

Nilipata fununu kwamba mtu kaikota na alimuona aliyeiangusha akihangaika kuitafuta juzi. ila jana nimeiona live ikitumika. Wewe kama ni yako jitokeze utaipata ila uje taratibu usimghasi muokotaji alikuwa ni mtoto akampa mzazi
 
bdo

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,772
2,000
Ninamfahamu aliyeiokota ila aliitoa line hapohapo na anaitumia
Kwa hio unataka kumkamatisha au? Kwa confidence uliyoionyesha kuitangaza hapa why ushindwe kumwambia huyo anayeitumia kuwa hio simu si yako, ama umripotishe kwa wahusika?
 
bdo

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,772
2,000
hamna ki2 apo ni walewale watafuta riziki kwa njia isiyo halali kama simu iko on c apeleke kwnye office za mtandao anaotumia ili wamtafute mteja wao, wale wana details zote za wateja wao
Nakubaliana na wewe,huyu jamaa ni fix
 
Boniphace Bembele Ng'wita

Verified Member
Dec 25, 2013
2,924
2,000
Huyo jamaa aliepoteza c mwana JF maana angekuwa amekuja kuulizia,au tayar anafanya tracking maana cm hzi huibi kama embe zinamambo mengi.
 
Nanaa

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
5,904
1,225
Tangu mwezi uliopita ulisubiri nini kumtafuta mwenyewe siku zote hizi zaidi ya mwezi sasa? Umeshindwa kuifungua na kuitumia au haiuziki??

Kashindwa kutoa lock...ukute kahaha kwa mafundi wa mji mzimaa...
 
Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,820
2,000
Kwa hio unataka kumkamatisha au? Kwa confidence uliyoionyesha kuitangaza hapa why ushindwe kumwambia huyo anayeitumia kuwa hio simu si yako, ama umripotishe kwa wahusika?

sio kumkamatisha ila kumsaidia mwenye cm aongee naye apewe cm yake. Shida ss wabongo tunaview things in negative sides kila mara. Ingekuwa mkononi mwangu ningefanya yote mnayosema ila iko kwa asiyejua thamani ya cm anaweza kurubuniwa kwa pesa kodogo ambayo haifiki robo ya thamani ya cm
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom