Kama umemisi Mfalme wa Taarabu Mzee Yusuph ebu dondosha neno lolote hapa...

Natoka nje ya mada kidogo.

Hivi hili pambano la Mwakinyo na Mkongo lina hadhi kweli au ni kama ndondo manake Mwakinyo juzi kati nilisikia amedrop kidogo kwenye mabondia wazuri kutoka Africa ,pamoja na kupigana na yule Mfilipino.
Miongoni mwa mabondia nisio wakubali ,Mwakinyo ni mmoja wapo.

Japo pambano lake litakalofanyika tarehe 14 hapo Mlimani City nitakwenda kulitazama.
 
Mtoto wa kiume kusikiliza taarabu ntakuwa nina mashaka na ww
Pole sana. Mkuu. Usipojichanganya utapitwa!
===
'Hamsemi Yakaisha' Ni Rahma Machupa akiwangoza wenzake. Aisee kuna maneno mule hatari!
Mfano maneno hayo ni:

" Binadamu ntalalila,
Mioyo imejaa fitina,
Badala ya kupenda kula,
Nyie mwapenda kusema."
 
Back
Top Bottom